Rule number 3 "All in all mentioned above is nonsense" in Prophet Suleiman's voice...[emoji87]
Me wa Dar!
Tatizo hela haumpi na humkojoleshii ndio tatizo ungekuwa atleast unamkojolesha hata asingeleta dharauKama kawaida ninamchumba Ila tuko now parallel Niko naomba msamaha sna ili kuishinaye kwa aman hata cm hapokei , najaribu kuonesha mapenzi ya dhati ila hajali maumivu yangu tafadhali naomba msaada mm nafanyaje wadau haya mapenzi yakoje? Nisingekuwa naomba msamaha kadhalika ningeonekana sifai Niko naomba msamaha ndo ananiona mm dhaifu sana nifanyeje jaman.
Nawasilisha.
Rule number 4
Ignore Rule 3
Amen, preach brother, preachRule number 1
Have many women
Rule number 2
Remember Rule 1
Rule number 5Rule number 4
Ignore Rule 3
Spoken like a realTafuta pini zaidi yake ndugu mwanaume wa kweli halilii mapenzi
Rule number 5
Find a soul mate: All rules above are nullified
Utakuw wa kinondoni kabisaMe wa Dar!
Jisamehe mwenyewe ndipo nami nikusameheNaomba msamaha!
Good talk!Umefanya nini mpaka unaomba msamaha?!
Wakati mwingine tuwe tunakubaliana na ukweli tuu, huyo hakupendi! Hakuna neno kubwa kama kusema nisamehe, angekuwa anakupenda angeona thamani ya hilo neno!
Tafakari, chukua hatua!
Karibu tenaGood talk!
Moja kati ya vitu vinavyonifanya niifurahie jf[emoji106]
Oooh!!Ni Mkongo.