H sanny
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 245
- 299
Sas unaombaje msamaha hali yakuwa ulijui kosa lako, au unatuficha ??????Hapana mm nilikuwa nje ya nchi nafika hapa Tz nakutananaye vizur siku ya tatu akawa ananijibu shortly so ndo nikaanza kujua kunatatizo nikimuuliza haniambii.