Ananikasirikia lakini hakati mawasiliano

Jiongeze babuu, kwani unakwama wapi?
Hii situation unaweza laumu kumbe mshkaji hayupo nae kabisa yaani ata ile ya kunusia hamna nilishawai experience hii kitu ila kwa njia tofauti Mimi nilikuwa naona kero tu mpaka rafiki yake akawa ananiuliza vipi we mzee maliza mtoto kibra kaelekea na kajiweka kisu shingoni nikamwambia yaani simuelewi naona ananikera tu aliniona wa ajabu sana mpka leo ananiangalia tu anashangaa ninavo chinja wengine tu
 
100% mkuu.
 
Hujajua kujiongeza mkuu, tenga mda nae, mpe tension, msikilize sikiliza ushauri wake, huyo anataka ufanye jambo ambalo limetokana na ushauri wake. Tenga mda nae hata nje ya kazi. Mf weekend muombe mkapate hata chakula pamoja, ingia na gia ya kuwa unataka umshauri kuhusu mdogo wako yaani kukuomba ushauri juu ya mambo yako nje ya kazi. Hiyo ndo gia, ila zaidi ya yote huyo dada anakupenda
 
Hahah...labda kutamani tu.
Ana bwana ake hapa hapa mjini na wanapendana kwa niwaonavyo mimi.
Upendo wa moyoni usiupime kwa kuona yuko vizuri na bwana wake ukasema wanapendana, kwako ndo amekupenda sasa hivyo viashiria ni vya upendo wa moyoni kabisaaaaa
 
Lakini ananikasirikiaga mpaka ananitukana mkuu.
Huo upendo gani siuelewi kidogo au ndio new style!
Hujajua kujiongeza mkuu, tenga mda nae, mpe tension, msikilize sikiliza ushauri wake, huyo anataka ufanye jambo ambalo limetokana na ushauri wake. Tenga mda nae hata nje ya kazi. Mf weekend muombe mkapate hata chakula pamoja, ingia na gia ya kuwa unataka umshauri kuhusu mdogo wako yaani kukuomba ushauri juu ya mambo yako nje ya kazi. Hiyo ndo gia, ila zaidi ya yote huyo dada anakupenda
 
Nimekupata mkuu.

Back
Top Bottom