Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,898
- 172,723
Poa wasalimie kinoUmezoea mambo ya sign language tu unatoa tunda.
Mi nimesema sina kazi nae.
Poa wasalimie kinoUmezoea mambo ya sign language tu unatoa tunda.
Mi nimesema sina kazi nae.
Ndo kumuelewa kwenyewe huko,kwani wewe unamuwazaje kichwani?Simuelewi
Wewe naona tunatembea kwenye beat mbili tofauti.Kwa hiyo kuchepuka ni jambo la kawaida tu! ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwa kweli.Bwana eeehh mbuzi ni wa kumchinja na kula supu zote mkia ulimi kichwa utumbo na kumchoma sio wa kumpigia gitaa teh
Where are you... I do have ur special tip[emoji39]Ndiyo hivyo. Hata wewe ukioa haikuzuii kumpenda mtu mwingine.
[emoji857][emoji857][emoji857]Anakupenda huyo.
Huwa tunakuwa hivyo.
Nipitie hapa posta.Where are you... I do have ur special tip[emoji39]
Wote KE tu mkuu, huoni ata huo ukike kike wanaoufanya kaziniNani ME kati yenu
Eeh viugomvi ugomvi visivyoisha.[emoji857][emoji857][emoji857]
Hearing from horse mouth so nice.... Mtusaidie hivi hivi maana mnatuchanganya sanaAnakupenda huyo.
Huwa tunakuwa hivyo.
My qualified nurse[emoji1491][emoji1474]Eeh viugomvi ugomvi visivyoisha.
Mgegede tu. Hiyo ndo dawa yake.Blue monday wakuu! !!
☆hivi inakuwaje binti anakukasirikia halafu bado anataka kuwasiliana na wewe!?
♧kuna workmate wangu anapenda sana kunikasirikia nikifanya jambo tofauti na anavopendelea yeye.
♧sina mahusiano nae na wala siwazi ila anavovimbaga ukizingatia ye yupo juu kidogo kihadhi basi anaweza kunitusi kwa njia ya simu.
♡lakini mara nyingi nimekuwa fanisi katika utendaji wangu kuliko kwa mawazo yake.
♤mwanzo nilijua labda ana wivu na ufanyaji wangu wa kazi. Lakini nikajiuliza mbona hakati mawasiliano na nisipopatikana kwenye simu nakuta sms sio chini ya 10 ,akiuliza nipo wapi mbona kimya!??
♧Nilimuuliza jana kwa nini ananikasirikiaga seriously?!?
-"akasema kwa nini huchukuagi ushauri wangu?"
-"Unajionaga unajua sanaa, kwanza achana na mimi".
Nikamwambia haunisaidii kitu... (amekasirika jana mpaka kuna support staff akaniambia "mwenzio analia")
~cha ajabu leo kanitafta sija respond ametuma sms nimekausha.
Simuelewi mtu wa aina gani huyu!?!?
"ANANIKASIRIKIA LAKINI HAKATI MAWASILIANO"
Number don't lie au siyo[emoji38]Mna umri gani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]inabidi mkatusomee darasani kabisa.Hearing from horse mouth so nice.... Mtusaidie hivi hivi maana mnatuchanganya sana
Ha ha ha ha we need professional training... Maana kila mmoja ana desa lake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]inabidi mkatusomee darasani kabisa.