Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 28,128
- 54,701
We mwanamke ni vile hujanitafuta tu nimekumiss we acha tuSiyo kwa kuhadimika huko.
Unajificha wapi hivyo?
We mwanamke ni vile hujanitafuta tu nimekumiss we acha tuSiyo kwa kuhadimika huko.
Unajificha wapi hivyo?
Tungejua na umri wao pia ingependeza......
Hadi ashikwe mkono achovyeshwe
hili hata mahakamani ntakua shahidi wako..ni kweli kabisa watu wawili wenye mimba changa wakikutana laZima cheche ZitokeeOkay kama hiyo ni E n W
N n S itakua we na huyo work mate mna mimba ndio maana mnakasirikiana bila sababu
Hajasema kama hataki ila alivoeleza ni kama haelewi anachofanyiwaHahaha. ..Lakini labda yeye (me ) hamtaki. .kila mtu ana haki na uhuru wakumchagua yule anayempenda
Kwa lugha ya maandishi yako nashindwa kukuelewa, Me hafanyi uu ujingaHujui kusoma? Rudia thread kama hata avatar hujaona.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]kazini Kama shule ya chekecheaOfisi gani unayofanya kazi ambako kuna utoto hivi??
Kupendana waachie wenyewe, ushauri wangu kama we ni team fisi piga miti kama sio wa hivo mwambie haupo interested mbaki na uhusiano wa kikazi tu.Hahah...labda kutamani tu.
Ana bwana ake hapa hapa mjini na wanapendana kwa niwaonavyo mimi.
Greenlight ya kunikasirikia na matusi!!Jamaa. .inaelekea hajawahi kupendwa na mwanamke nini? ? Yaani unashindwa kuelewa kabisa kuwa huyo dada anajaribu kukupa green light. .
No wonder itakuwa una fanana na yule main character wa movie ya sex is zero
Jamani, mekumiss sana pia.We mwanamke ni vile hujanitafuta tu nimekumiss we acha tu
Kuwa na mume au bwana hapamzuii mtu kumzimikia mtu mwingine.Hahah...labda kutamani tu.
Ana bwana ake hapa hapa mjini na wanapendana kwa niwaonavyo mimi.