hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,394
Evelyn Salt. ...Huyu sio team fisi. ..Ni moja Kati ya vizazi vya wanaume wachache sana ambao huwa Wana kataa papuchi. ..awali nilidhani kuwa wanaume wa namna hii Walikuwa wamesha kufa wote kwenye ile Vita ya pili ya dunia. .kumbe bado Kuna masalia masalia yao aise
Ana mahusiano na mtu wake na wanapendana.
Namie sina haja nae pia