Ananikasirikia lakini hakati mawasiliano

We jamaa ni kolo! Hebu ita hiyo mama weekend najua hana ujanja wa kukataa andaa mzinga na wine kabisa ya kumuondolea aibu kisha uagize kukuchoma mcheki nae movies.

Akikolea tu unamnawa, ukishindwa hili potea jf kabisa usionekane tena...shwaini kabisa!!!
 
Evelyn Salt. ...Huyu sio team fisi. ..Ni moja Kati ya vizazi vya wanaume wachache sana ambao huwa Wana kataa papuchi. ..awali nilidhani kuwa wanaume wa namna hii Walikuwa wamesha kufa wote kwenye ile Vita ya pili ya dunia. .kumbe bado Kuna masalia masalia yao aise

Bado wanaume wa hivyo tupo. Huyo ni member mwenzangu
 
Blue monday wakuu! !!

☆hivi inakuwaje binti anakukasirikia halafu bado anataka kuwasiliana na wewe!?

♧kuna workmate wangu anapenda sana kunikasirikia nikifanya jambo tofauti na anavopendelea yeye.

♧sina mahusiano nae na wala siwazi ila anavovimbaga ukizingatia ye yupo juu kidogo kihadhi basi anaweza kunitusi kwa njia ya simu.

♡lakini mara nyingi nimekuwa fanisi katika utendaji wangu kuliko kwa mawazo yake.

♤mwanzo nilijua labda ana wivu na ufanyaji wangu wa kazi. Lakini nikajiuliza mbona hakati mawasiliano na nisipopatikana kwenye simu nakuta sms sio chini ya 10 ,akiuliza nipo wapi mbona kimya!??

♧Nilimuuliza jana kwa nini ananikasirikiaga seriously?!?
-"akasema kwa nini huchukuagi ushauri wangu?"
-"Unajionaga unajua sanaa, kwanza achana na mimi".

Nikamwambia haunisaidii kitu... (amekasirika jana mpaka kuna support staff akaniambia "mwenzio analia")

~cha ajabu leo kanitafta sija respond ametuma sms nimekausha.

Simuelewi mtu wa aina gani huyu!?!?

"ANANIKASIRIKIA LAKINI HAKATI MAWASILIANO"
Mboga hiyo
 
Anakutaka huyo lakini hajui namna ya kukuambia.

Back
Top Bottom