Ananiita 'bestfriend' ila ananipiga vibomba sana, nimfanyaje?

Mtumie meseji mwambie fulani mimi umekula pesa yangu muda mrefu saana.

Sasa ya leo naomba uifanyie kazi...njoo unipe papuchi kisha nitakupatia hiyo pesa mama.

Akikaa kimya nawe kaa kimya. Akikujibu vibaya kaa kimya. Reply meseji yake pale ambapo atasema haya nakuja kwako kukupa papuchi.
Ahahahahahahahahha.
Eeh hii kwel imekaa kibaharia zaid
 
Kama una mdogo wako yupo shule au chuo fanya umtumie hata nusu ya hela unayotaka kutuma.. atakukumbuka milele.

Kama baba yako au mama yako bado wapo faya uwanunulie hata vitenge viwili na hela ya kushona...

Hawa mamanzi sio watu kabisa.. unaweza kukuta unatoa hio hela halafu kuna mhuni anapelekewa msosi gheto.. akimaliza kula msosi anamla na mpishi wakati wewe hata kuja kwako hataki..

Mchane huyo manzi au mpotezee tu usitume hela
 
Back
Top Bottom