Ndugu upo vizuri kwenye lugha eeeh
Hivi man u anacheza na nani
mkuu uko nondo unaongea lugha nyingi mpaka kiswerdish hii itakuwa lugha ya mabubu!Vibaya sana we ulizia Kijerumani,kifaransa,kichina (najua kidogo),Kiswahili fasaha,kiniger,kisukuma,kingoni,kichaga,kimakonde,kiluganda (from Uganda),kispanish,kiswerdish,Mpaka lugha za mabubu mimi niko vyema!
Umekubali mimba unapaswa kuendelea kuilea jamani, ungependa afanye na asiye baba wa mtoto wako?Ndugu wana JF,
Aliyekuwa mpenzi wangu ambaye ana miezi kadhaa tangu apate ujauzito. Na ananisingizia mimi eti huo ujauzito ni wa kwangu, sasa nimekubali tu kwa shingo upande mpaka atakapo jifungua ili ukweli ujulikane. Ila amekuwa akinisumbua eti anahitaji d.u.d.u langu, mi nimekuwa nikikataa kwa sababu zangu mwenyewe.
Wadau kweli nimeamini wanawake ni wasumbufu balaa, I'm tired with this guy
Ndugu wana JF,

mkuu uko nondo unaongea lugha nyingi mpaka kiswerdish hii itakuwa lugha ya mabubu!

stoke city
Hivi man u anacheza na nani
Hivi man u anacheza na nani