ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 52,420
- 118,937
Last edited by a moderator:
Ndugu wana JamiiForums.
Aliyekuwa mpenzi wangu ambaye ana miezi kadhaa tangu apate ujauzito. Na ananisingizia mimi eti huo ujauzito ni wa kwangu, sasa nimekubali tu kwa shingo upande mpaka atakapo jifungua ili ukweli ujulikane. Ila amekuwa akinisumbua eti anahitaji d.u.d.u langu, mimi nimekuwa nikikataa kwa sababu zangu mwenyewe.
Wadau kweli nimeamini wanawake ni wasumbufu balaa, I'm tired with this guy.
We zinc nae unamatatizo
Ni kweli matatizo ninayo, ninavuta subira aliyekuwa mwandani wangu ajifungue ili niujue ukweli. Sasa d.u.d.u langu analitakia nini!!! Tumboo ukitaka d.u.d.u langu kwa hiari yako nitakupa na wala sitakuangusha wallah, lakini siyo huyu ambaye nimekosa imani nae, na yeye amekosa imani na mimi
siku zote wajawazito huwa wanapenda kuduuuuu nadhani ili kupanua njia, so nduguyangu mpanue njia ili akuzalie mtoto vzr make unaweza ukadhani si wako kumbe ni wako, after all dudu si chaki kwamba itaisha ubaoni!!!!!!!!Mara mia nikupe wewe d.u.d.u ili tumalize tofauti zetu. Huyu mwingine ni shedaah
Ndugu wana JamiiForums.
Aliyekuwa mpenzi wangu ambaye ana miezi kadhaa tangu apate ujauzito. Na ananisingizia mimi eti huo ujauzito ni wa kwangu, sasa nimekubali tu kwa shingo upande mpaka atakapo jifungua ili ukweli ujulikane. Ila amekuwa akinisumbua eti anahitaji d.u.d.u langu, mimi nimekuwa nikikataa kwa sababu zangu mwenyewe.
Wadau kweli nimeamini wanawake ni wasumbufu balaa, I'm tired with this guy.
We zinc nae unamatatizo
Hutaki dushe itumike basi isimamishe utundikie koti