Msukuma wa dar
JF-Expert Member
- Jul 14, 2016
- 1,160
- 1,204
Habari kwenu ndugu,jamaa na marafiki
Awali ya yote nianze kwa kumshukuru mwenyezi Mungu kwa kunipa mtoto mzuri tunayeendana sana,kifupi uyu mwanamke ndo mshkaji wangu wa kalibu sana kwenye shida na raha,toka tujuane kwenye miaka ya2012
Sasa majuzi apa alikuja home kunijulia hali na story za apa pale,si mnajua mambo ya ubinadaamu tena.Baada ya misosi,story,mikasi,utani,usafi wa apa na pale ndani ya nyumba, shemeji yenu akawa kapitiwa na usingizi
Nikiwa bado sijui cha kufanya uku nimejilaza,ikabidi nichukue simu yake na kuanza kusoma Thread za MMU, gafla ikaingia text,nikawa naisomea pale pale kwenye notification bila kuifungua,Message haikuwa ndefu ila ni dhahiri ilitoka kwa mwanaume na alikuwa kama analalamika flani ivi
Kwa viashiria vile nkaona ngoja niende inbox japo sinaga tabia ya kuchunguza chunguza simu ya babe,japo kwa leo atanisamehe bureee.IMENIBIDI
Bas baada ya kusoma convo ya jamaa,niligundua jamaa anamtaka dem,anaahidi kumtambulisha home kwao na ndoa haitachukua muda kufanyika.Jamaa anadai kamaliza chuo flani mwaka huu apa town, mda wote alokuwa chuo eti alijilinda sana,alitaka asome kwanza af bdae ndo atafute mchumba.Na mtu pekee ni yeye sasa,yani manzi wangu
Jamaa alifunguka vitu vingi sana vingine adi na mie nikaanza kulionea imani jamaa.Majibu ya shemeji yenu yalikuwa ya kiungwana tu,alikuwa anamuelewesha tu kuwa yeye tayali anamtu,asihofu atampata mtu anayemtaka tu.Ajalibu kutulia ivo ivo sababu maradhi ni mengi.Ila pamoja na majibu ya shosti yenu kuwa ya kiungwana,jamaa hakukoma,aliendelea tena na tena japo ni bila mafanikio
NILICHOJIULIZA NA KUJIFUNZA
1 Inawezekanaje kwa mtoto wa kiume adi stage ya kumalza chuo af unakosa ata kadem ka kuzuguia ambako unaweza kukapa mikoba ya uMKE muda wowote
2 Tatizo la kudandia wapenzi wa watu kwa mwamvuli wa kuwaoa madhara yake ndo kuja kugongewa na kulea watoto wasio wetu
3 Vijana tupunguze udomo zege ata kama hatuna chapaa kiivyo.Kuna idadi kubwa ya vijana siku izi wanaograduate vyuo mbali mbali ila somo la Mahusiao kwao ni Sup.Yani mengi yapo single na yamerizia wadada kumegwa na vibabu.Hii haikubariki(In anko magu voic)
Ushauri kwa uyu jamaa
Nimechukua namba yake,nataka nimshauri kama mwanaume mwenzang,ila sijampgia bado wala kumtumia message.Nasubili mtakachoniambia ndo nitakachomwambia