Anamtafuta mama muhasibu aliyestaafu kutoka TRA afanye nae kazi

Nyam

Senior Member
Jul 9, 2012
134
72
Habari wanajf,

Kuna rafiki yangu ana kampuni yake anamtafuta mama ambaye ni muhasibu lakini ni mstaafu kutoka TRA afanye nae kazi kama General manager wake...
Anayemfahamu aniinbox tafadhali...Eneo ni Dar
 
Mwambie aachane na hiyo fikra. Hakuna mtu aliefanya kazi hadi kustaafu akiwa TRA (au entity yeyote ya umma) awe na mindset inayohitajika kufanya kazi kwa ufanisi kwenye kampuni binafsi.
 
Kwanini ?

Kwa wastani yaweza kuwa hivyo ulivyosema lakini pia jaribu ku provide kuwa yawezekana wakawepo wachache ambao watakaoweza kuwa willingly kufanya kama kama hiyo ya mleta mada!

Ikumbukwe pia kuna wanaoamua kuacha kazi wenyewe!

Kuna wanaoamua kustaafu kwa hiyari yao n.k

Penye wengi hapakosi kuwa na mengi!

The world is not static!
 
Huwezi kufanya mazoezi ya basketball halafu ukacheza football. Haiwezekeni, narudia; HAIWEZEKANI hata siku moja upate private sector manager mzuri kutoka public sector. Mentality ya public sector ni "spend, spend and spend more" wakati private sector it is "save, save and save
 
Mwambie aachane na hiyo fikra. Hakuna mtu aliefanya kazi hadi kustaafu akiwa TRA (au entity yeyote ya umma) awe na mindset inayohitajika kufanya kazi kwa ufanisi kwenye kampuni binafsi.
Yaani watu wa kugusagusa kazi aje afanye naye kazi tena biashara/kampuni mpya!
Kama unahofia mambo ya kodi tafuta mhasibu anayefahamu. Tra kuna mtu asmachojua ni kuprint tu zile payslip zenye control namba.
 
Precisely my point Mkuu.
 
Yaani watu wa kugusagusa kazi aje afanye naye kazi tena biashara/kampuni mpya!
Kama unahofia mambo ya kodi tafuta mhasibu anayefahamu. Tra kuna mtu asmachojua ni kuprint tu zile payslip zenye control namba.
 
Kwanini ?

Kwa wastani yaweza kuwa hivyo ulivyosema lakini pia jaribu ku provide kuwa yawezekana wakawepo wachache ambao watakaoweza kuwa willingly kufanya kama kama hiyo ya mleta mada!

Ikumbukwe pia kuna wanaoamua kuacha kazi wenyewe!

Kuna wanaoamua kustaafu kwa hiyari yao n.k

Penye wengi hapakosi kuwa na mengi!

The world is not static!
Chief Akilinjema, ndugu yangu Mfiaukweli yupo sahihi kabisa.

Usimamizi wa private sector, sio easy kiasi hiko! Sector binafsi inahitaji experts, ambao wapo experienced na wanajua misingi mikuu ya biashara ni ipi.

Hivyo ni nadra sana kumkuta mtu, yupo/alikuwepo taasisi ya umma, then kajaariwa uwezo huo!. In fact wengi wao, tayari wameshakuwa twisted na misingi ya kiutendaji ya kiserikali zaidi.

For that case, mkuu Nyam it's better mkatafuta hata kati ya hawa vijana, ambao wapo uraiani wanasugua bench.....pengine itawawia urahisi kumtwist, kuliko kumtwist mtu aliyetoka huko mpatakapo.

Asante.
 
Yaani watu wa kugusagusa kazi aje afanye naye kazi tena biashara/kampuni mpya!
Kama unahofia mambo ya kodi tafuta mhasibu anayefahamu. Tra kuna mtu asmachojua ni kuprint tu zile payslip zenye control namba.
So, that means hawezi kufanya kazi zingine au ni wivu tu ulionao kwake kwakuwa anafanya kazi Tra. Ninachofahamu Tra uchukua watumishi competent sana ukilinganisha na mashirika mengine ya umma.
 
Wivu tena we dada vipi!. Kwa akili zako finyu unaona muajiriwa wa TRA ndo amepatia! Tuna safari ndefu ya kubadili mtizamo wa kifikra haswa kwa vijana.
 
Watumishi competent TRA? Labda kama kuna TRA nyingine nchi hii zaidi ya Tanzania Revenue Authority. Unajua wanavyo-recruit watu?
To be fair; si TRA pekee wenye incompetent employees, practically kila public entity nchi hii.
 
Si swala la kubadili fikra ila ukwel ndio upo hivyo, taasisi ambazo wafanyakaz wake wana maslai mazuri zinajulikana. Wewe mwenye akili nyingi tuambie muajiriwa wa Tra utamfanisha na wa almashauri?
 
Hoja hapa ni kufananisha taasisi za umma na zile za binafsi. Kati ya hizo ulizotaja ipi ni taasisi binafsi?
 
Watumishi competent TRA? Labda kama kuna TRA nyingine nchi hii zaidi ya Tanzania Revenue Authority. Unajua wanavyo-recruit watu?
To be fair; si TRA pekee wenye incompetent employees, practically kila public entity nchi hii.
Naijua Tra zaid unavyofirikia, mm nadhan ww unataka kuchekesha tu haha, kabla ajira hazijaanza kupitia utumishi to be shortlisted ktk ajira za Tra walikuwa wanangalia sana GPA sana sna upper second na kuendelea, na ata baada ya mchakato wa ajira kuanza kuratibiwa na utumishi hakuna hasiyefaham mchakato wa ajira kupitia utumishi ulivyo kama wewe ni kilaza uwezi kutoboa paper. Shida ni kwamba unataka kutuamisha watu competent wote wapo private sector, ukweli utabaki kama ulivyo competence ya watumishi wa Tra ipo vzuri sana na ata kimaslai pia wapo vizuri OVER
 
Hoja hapa ni kufananisha taasisi za umma na zile za binafsi. Kati ya hizo ulizotaja ipi ni taasisi binafsi?
Wewe ndie ume-overboard mana nia na madhumuni ya mleta mada kutoa ajira, na nadhani ameshafanya tathmini ya kina juu ya hilo na ndio mana anahitaji mtumishi mstaafu wa Tra. Sasa ktk kutoa ushauri ndio mkajikuta mnaangukia huku. TRA wapo certified na ISO..na ISO mpaka wakupatie cheti chao sio lelemama wakiwa wanafanya audit wanaangalia vingi sana ata vile ambavyo ww huwezi kuvitizamia na Taasisi za umma chache sana ambazo zipo certified ISO, so far kwa sasa mimi nnayo ifaham ni TRA
 
Am sorry; but you are incorrigible. Kwani hiyo biashara binafsi inahusiana na kukusanya kodi? Mleta maada anatafuta GM kwa ajili ya kampuni binafsi; kwa akili yako TRA kuwa ISO certified kuna relevancy ipi na uhitaji huo?
 
Watumishi competent TRA? Labda kama kuna TRA nyingine nchi hii zaidi ya Tanzania Revenue Authority. Unajua wanavyo-recruit watu?
To be fair; si TRA pekee wenye incompetent employees, practically kila public entity nchi hii.
Miaka ya nyuma kipindi interview zinakuwa conducted na TRA wenyewe moja ya vigezo vyao ilikuwa GPA na wengi waliopataga GPA nzuri wali win kupata ajira TRA na ata baada ya mchakato wa ajira serikalini kuanza kuratibiwa na utumishi bado competition ni kubwa mno ktk ajira za serikali, by the way Tra wana ule mfumo wao baada ya kuwa recruited lazima wakupeleke ktk chuo chao cha ITA ukapigwe msasa mwaka mzima na wanaofanya vizur ktk mitihan uwa deployed ktk vituo vyao vya kazi.
 
Am sorry; but you are incorrigible. Kwani hiyo biashara binafsi inahusiana na kukusanya kodi? Mleta maada anatafuta GM kwa ajili ya kampuni binafsi; kwa akili yako TRA kuwa ISO certified kuna relevancy ipi na uhitaji huo?
Na ulipotueleza Tra wana incompetent employees ullikuwa na mlengo gani?! Utakuwaje certified na ISO kama una watumishi vilaza! Meanwhile mhimili mkuu wa taasisi yoyote ile ni watendaji
 
Back
Top Bottom