Anamiliki gari la thamani na sufuria mbili chakavu

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
26,953
49,705
Nimemkumbuka my ex bwana jamaa alikuwa na mashauzi yule gari kali simu kali ila ndani kwake godoro tu hakuna kitanda wala kochi au sofa kupika ilikuwa sufuria mbili chakavu.
 
We nyani ulidhani me mwanaume? Me mmama hii post nimeikosea kumbe imejipost
 
Nimemkumbuka my ex bwana
Jamaa alikuwa na mashauzi yule gari Kali simu kali ila ndani kwake godoro Tu hakuna kitanda wala kochi au sofa
Kupika ilikuwa sufuria mbili chakavu
sasa sufuria,sofa vya nini wakati mi naingia ndani kulala tu?!
 
Sijawahi kusikia mwanamke akasifia kitanda na sufuria. Ila husifia gari,pesa na mavazi.hii mpya, Labda jamaa kazi yake ya mama ntilie ndio maana sufuria zimechakaa
 
Nimemkumbuka my ex bwana jamaa alikuwa na mashauzi yule gari kali simu kali ila ndani kwake godoro tu hakuna kitanda wala kochi au sofa kupika ilikuwa sufuria mbili chakavu.
Kama Ilikuwa ndo Furaha yake?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom