Kwani makosa ya mange ni yapi?! Mtu kumchukia mtu siyo kosa, ila ikiwa atamjeruhi hilo kosa. Deformation of character ni kosa, lakini ambaye anahisi kuwa character yake imekuwa deformed afungue kesi. Wao wazuri kutuambia sisi walala hoi tuende mahakamani, mbona wao hawaendi mahakamani kufungua mashitaka dhidi ya mange?!Waongo na wanamsingizia, Mange anasema wasiyotaka tuyafahamu lakini wanasema eti huko ni kuvunja sheria, watuambie wao basi, kwanini wanasubiri huyo Mange aseme ndio waje kufafanua?!
Wafanye kazi waachane na mange.