Analysis: Republic vs Mange Kimambi

Analysis: Republic vs Mange Kimambi

Mbona waluza madawa akina Escoba yule wa kigamboni na wenzake walihamishwa toka kisutu kupelekwa huko marekani?,kama hilo limewezekana na la mange linaweza wezekana,ni suala la muda tu
Sasa hilo ni kosa linalofanana kwa nchi zote mbili, au hujasoma vizuri alichokisema mtoa mada?
 
Eti unatuma maombi ubalozini wamlete mange tz kisa kamtukana mtu hahahaaaa yaaan hata balozi tu anaweza Cheka sana na kukuona hazimo km Mungu tu anatukanwa Iwe ww hutaki kutukanwa ......kwan ww ni nan.Sipendi matusi ila kila binadam anamapungufu take ndo maana tunavumilia tu hivo vivo.
 
Mkuu mbona kina Haji ally Khatibu alias Baba resty na Tiko walipelekwa marekani kushitakiwa. Hii inaonesha tuna extradition treaty.

Turkey inamuhitaji yule Islamic cleric bilionea anyemiliki taasisi za kielimu kama Feza school toka marekani na bado marekani imetupilia mbali ombi la kumrudisha uturuki huyo usataadh anaye distabilize siasa za uturuki akiwa nje ya nchi yake.
 
Ila kwa wazungu walivyo yawezekana mange kimambi kuna nguvu nyuma yake inayomfanya aprovoke nchi yetu. Wazungu hawaaminiki. Refer to ufaransa kwa Ivorycoast
 
Hata hivo utaratibu unafanyika ili aweze kudhibitiwa, hivi karibuni mtaona tu...
Anyway jamaa leo ajacomment yupo UG
 
Kumbe naye ni member humu, hebu nipe aveter yake niwe nam pm
 
Back
Top Bottom