Analysis reports ya kitaalam nani kashinda Vita Iran vs Israel

Kulipua hayo manyuklia ni ushindi kwa Dunia, kukalisha Iran na kuteka anga lake pia ni ushindi mkubwa maana waislamu wote magaidi wameachwa mayatima, wameoana kubwa lao lililokua linawapa jeuri halina lolote, lilipigwa na kufutiwa uongozi wote.
Yaani Israel imetuheshimisha nimepata amani sana siku hizi, historia iliandikwa upya.
 
Unaweza kulipua nyuklia dunia ikapona? Kama siyo propaganda za kitoto utaita nini? Yaani kuwe na nyuklia halafu uishambulie kisha useme dunia iko salama. Kiukweli watu wamekua wajinga sana wa kufikiri
 
Kuuawa kwa viongozi sio deal make wameshateuliwa wengine na maisha yanaendelea!!
 
Screenshot_20250625-145559.png
 
K

View: https://www.youtube.com/watch?v=SqJvJ4Yv8Xw

Kila Mmoja ameshinda kivyake ila faida amepata Israel malengo yote 100%

Iran kwake kupona kwa Ayatollah na kuendelea kutawala Iran ni Ushindi kwake 100%

Kwa mtazamo wangu; vita ameshinda Iran kwakua ilikua 2 against 1. Lakin kama angepambana Israel mwenyewe against Iran pia ningesema mshindi ni Iran.
Hoja yangu imejikita katika sababu zifuatazo;-
1. Tuliaminishwa mfumo wa ulinzi ni imara hauwezi shambuliwa na aina yeyote ya both kitu ambacho wameshindwa kutokana na missiles za Iran.
2. Israel imeonesha udhaifu wake kwenye vita hawezi peke ake mpaka apate msaada wa Baba ake US. Kwan baba alipoona mwanawe anashambuliwa sana akaamua aende front ili mwanae asiaibike...na hii inajidhihirisha na statment ya Netanyau baada ya US kushambulia vinu vya nuclear
Hii ni credit tosha kwa Iran.
Nakaribisha hoja kutoka kwa Wanaisrael wa tandale.
 
Unaweza kulipua nyuklia dunia ikapona? Kama siyo propaganda za kitoto utaita nini? Yaani kuwe na nyuklia halafu uishambulie kisha useme dunia iko salama. Kiukweli watu wamekua wajinga sana wa kufikiri
Hata mimi najiuliza hivi hivi.. iweje ushambulie vinu vya nyuklia alafu dunia ikae salama kama si matango pori ya poli ya marekani na dada yake Israel
 
unapingana na TRUMP kwamba israeli imepigika haswa
Waeza toa idadi ya hizo sehemu zilizopigika haswa? Maana sijaona hata ghorofa lililoanguka chini zaidi ya moja upande wa vibaraza . Idadi ya Vigo no 27+1 ambaye alikufa kwa mshtuko tu. Wayne walikufa day 12 after muds WA kusitisha vita.

Trump hiyo hiyo kipenzi chako kasema iran imepigwa na kumsema Ayatollah no mtu muongo sana kapigwa na vifo vimemzunguka. And israel wanaipiga kwa uhodari iran Kola target Kea Shabana it's amazing.

Wenzio wanalilia fidia
 
mfano leo imefichuka millitary base tano za myahudi zilichezea kichapo heavy zile siku 12
 
Kumtoa chupi TomBoy ni ushondi kwa ulimwengu kwani tuliaminishwa kua hawez kupenyea ata kidole
 
Kwani imeisha mi nilidhani bado tuko kwenye cease fire?
 
mfano leo imefichuka millitary base tano za myahudi zilichezea kichapo heavy zile siku 12
Sio kufichuka Israel hanaga mambo ya kuficha after hatari ikiisha, Walisema wakati wa vita raia waache kurecord record and Missile nyyingi zimepiga open area, na Jeshi la Israel wanasema impact kwenye kambi za jeshi ni ndogo.
 
Back
Top Bottom