hahaa, punguani ni neno la kiswahili linalo maanisha pungufu; huu ndio hasa mjadala kwamba akili za jamaa ni pungufu kwa mazingira ya TzYaani kazi zinazotakiwa kufanywa na rais wa nchi mwenye decision making powers ambae ni bwana Jiwe wa Jiwe unamuwekea Lissu ambae hata ubunge hana!
Hivi wewe mzima kweli?
Punguani wewe!
Uzi umejikita hasa kuangalia uwezo wake wa akili (zinazotajwa nyingi) kuhudumia watanzania, naona he is just an ordinary citizen, hana hoja ya ajabu kuonesha maajabu atakayowafanyia waTanzaniaMpe kura yako 2020 uone atakavyoifanyia nchi hii makubwa.
Nilidhani atakuwa chachu ya kuwatafutia vijana ajira; 2/3 ya ajira za US citizens huko Marekani zinatokana na ajira binafsi, kwamba sekta zilizoanzishwa na watu wenye akili nyingi (investors) zinawapa chakula wengine; nadhani ndio maana wana mfululizo wa billionaires kuwa POTUS; hapa kwetu mpiga mdomo mzuri kama jamaa yetu ambaye najua hajachangia hata 0.00000001% ya ajira binafsi anaitwa ana akili nyingi
Huko uingereza, Office of National Statistics iliripoti mwaka 2018 kwamba ajira katika sekta za umma imeshuka hadi 16% na kuishukuru sekta binafsi kuajiri takribani 84% ya Brits. Tukumbuke sekta binafsi ni akili binafsi (ninaziita akili nyingi) zilizoamua kuwekeza na kuajiri watu wengine; hapa kwetu mtu anayejua kupangilia maneno na matusi kwa watawala tunamuita mwenye akili nyingi
Hapa kwetu, badala ya akili nyingi (za hao tunaosifia wana akili kuzidi wengine) kutumika ku-manipulate mazingira na rasilimali zake kwa faida ya mtanzania, zinatumika kutukana, kudharau, kuona kila kitu kinachofanywa ni kibaya.
Nilidhani atakuja na mawazo mapya ya jinsi ya ku-exploit resources ambazo tunazo Tz; yeye anakuja na akili za kisheria za wale tulio ona hawafai kutuongoza(Waingereza, wajerumani); hapa nashindwa kumtofautisha na zile products tegemewa za elimu ya mkoloni(expected outputs of colonial education), ku-feed brain ya muafrika ili; aidha elimu aliyopata ashindwe kutumia rasilimali zake ama awe kinyume na wenzake. Nadhani akili nzuri ni ile inayotatua changamoto za mazingira yako, sio changamoto za mazingira mengine
Licha ya yote, namtakia afya njema na kumpa pole na maswahibu yaliyompata, japo akirudi abadilike na awe chachu ya maendeleo Tanzania; akili nyingi ziwe za msaada kwa wengine hasa zinazoendana na mazingira yetu..
Hivi kule america ccm yamagufuli haina balozi kule.nyie mbona mnatutilia aibu,huyu MTU alikua kutibiwa siokuombea watu ajiraNilidhani atakuwa chachu ya kuwatafutia vijana ajira; 2/3 ya ajira za US citizens huko Marekani zinatokana na ajira binafsi, kwamba sekta zilizoanzishwa na watu wenye akili nyingi (investors) zinawapa chakula wengine; nadhani ndio maana wana mfululizo wa billionaires kuwa POTUS; hapa kwetu mpiga mdomo mzuri kama jamaa yetu ambaye najua hajachangia hata 0.00000001% ya ajira binafsi anaitwa ana akili nyingi
Huko uingereza, Office of National Statistics iliripoti mwaka 2018 kwamba ajira katika sekta za umma imeshuka hadi 16% na kuishukuru sekta binafsi kuajiri takribani 84% ya Brits. Tukumbuke sekta binafsi ni akili binafsi (ninaziita akili nyingi) zilizoamua kuwekeza na kuajiri watu wengine; hapa kwetu mtu anayejua kupangilia maneno na matusi kwa watawala tunamuita mwenye akili nyingi
Hapa kwetu, badala ya akili nyingi (za hao tunaosifia wana akili kuzidi wengine) kutumika ku-manipulate mazingira na rasilimali zake kwa faida ya mtanzania, zinatumika kutukana, kudharau, kuona kila kitu kinachofanywa ni kibaya.
Nilidhani atakuja na mawazo mapya ya jinsi ya ku-exploit resources ambazo tunazo Tz; yeye anakuja na akili za kisheria za wale tulio ona hawafai kutuongoza(Waingereza, wajerumani); hapa nashindwa kumtofautisha na zile products tegemewa za elimu ya mkoloni(expected outputs of colonial education), ku-feed brain ya muafrika ili; aidha elimu aliyopata ashindwe kutumia rasilimali zake ama awe kinyume na wenzake. Nadhani akili nzuri ni ile inayotatua changamoto za mazingira yako, sio changamoto za mazingira mengine
Licha ya yote, namtakia afya njema na kumpa pole na maswahibu yaliyompata, japo akirudi abadilike na awe chachu ya maendeleo Tanzania; akili nyingi ziwe za msaada kwa wengine hasa zinazoendana na mazingira yetu..
MMkuu, jamaa aliwahi kuwa Rais wa chama cha wanasheria Tanzania tu sio Rais wa nchi. Naona umechanganya Madesa
Hahahhahaa kwahyo wewe kwa upupu huu ulioandika ndo unamuita mleta mada namna ile?Yaani kazi zinazotakiwa kufanywa na rais wa nchi mwenye decision making powers ambae ni bwana Jiwe wa Jiwe unamuwekea Lissu ambae hata ubunge hana!
Hivi wewe mzima kweli?
Punguani wewe!
Kweli Mwalimu angekuwepo akaona haya asingeamini macho yake.... Kwahio unadhani people should be elected by the power of their wallet ?.., na hii kujidanganya kwamba the wealthy.., will accumulate the wealth and it will trickle down to have nots is a misconception it will just increase the gap between have and the have nots...Nilidhani atakuwa chachu ya kuwatafutia vijana ajira; 2/3 ya ajira za US citizens huko Marekani zinatokana na ajira binafsi, kwamba sekta zilizoanzishwa na watu wenye akili nyingi (investors) zinawapa chakula wengine; nadhani ndio maana wana mfululizo wa billionaires kuwa POTUS; hapa kwetu mpiga mdomo mzuri kama jamaa yetu ambaye najua hajachangia hata 0.00000001% ya ajira binafsi anaitwa ana akili nyingi
Mmh....! Nimecheka mpaka nikaishiwa pumzi, mmemsimanga sana mpaka kajikakamua kukiingish kiinglish...GENIOUS huyu hapa.
..sikilizeni pointi anazotowa na jinsi alivyo na ushawishi.
Unajua kuficha ujinga huwa ni aina mojawapo ya busara, umetudhihirishia ujinga wako kwa kujitakia mwenyewe japo nadhani kwa kukosa ufahamu haukujua ya kuwa upupu uliomwaga hapo ni upumbavu usio kifani.Nilidhani atakuwa chachu ya kuwatafutia vijana ajira; 2/3 ya ajira za US citizens huko Marekani zinatokana na ajira binafsi, kwamba sekta zilizoanzishwa na watu wenye akili nyingi (investors) zinawapa chakula wengine; nadhani ndio maana wana mfululizo wa billionaires kuwa POTUS; hapa kwetu mpiga mdomo mzuri kama jamaa yetu ambaye najua hajachangia hata 0.00000001% ya ajira binafsi anaitwa ana akili nyingi
Huko uingereza, Office of National Statistics iliripoti mwaka 2018 kwamba ajira katika sekta za umma imeshuka hadi 16% na kuishukuru sekta binafsi kuajiri takribani 84% ya Brits. Tukumbuke sekta binafsi ni akili binafsi (ninaziita akili nyingi) zilizoamua kuwekeza na kuajiri watu wengine; hapa kwetu mtu anayejua kupangilia maneno na matusi kwa watawala tunamuita mwenye akili nyingi
Hapa kwetu, badala ya akili nyingi (za hao tunaosifia wana akili kuzidi wengine) kutumika ku-manipulate mazingira na rasilimali zake kwa faida ya mtanzania, zinatumika kutukana, kudharau, kuona kila kitu kinachofanywa ni kibaya.
Nilidhani atakuja na mawazo mapya ya jinsi ya ku-exploit resources ambazo tunazo Tz; yeye anakuja na akili za kisheria za wale tulio ona hawafai kutuongoza(Waingereza, wajerumani); hapa nashindwa kumtofautisha na zile products tegemewa za elimu ya mkoloni(expected outputs of colonial education), ku-feed brain ya muafrika ili; aidha elimu aliyopata ashindwe kutumia rasilimali zake ama awe kinyume na wenzake. Nadhani akili nzuri ni ile inayotatua changamoto za mazingira yako, sio changamoto za mazingira mengine
Licha ya yote, namtakia afya njema na kumpa pole na maswahibu yaliyompata, japo akirudi abadilike na awe chachu ya maendeleo Tanzania; akili nyingi ziwe za msaada kwa wengine hasa zinazoendana na mazingira yetu..
Mmh....! Nimecheka mpaka nikaishiwa pumzi, mmemsimanga sana mpaka kajikakamua kukiingish kiinglish.