Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,657
- 161,641
Hii inaweza leta mgogoro kwa wanabishania KUCHINJA.........
Mbuzi Mzee kisha jichukulia miguumimi nataka kichwa tu
Pia huwa najiuliza ni nani huchinja wanyama pori wanaowindwa kwa risasi, kama Nyati, Twiga na wengine wakubwa?Toka lini samaki akachinjwa...?
Kwani wee hunijui kwa unafiki?Pia huwa najiuliza ni nani huchinja wanyama pori wanaowindwa kwa risasi, kama Nyati, Twiga na wengine wakubwa?
sio sangu hilo ni IvumweBonge la Sangu hahahaha