Mtali
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 3,972
- 3,355
Yes...analiwa kwa sababu ni samaki..
Munono uyoooooo!!!!
Yes...analiwa kwa sababu ni samaki..
Kwani wee hunijui kwa unafiki?
sio sangu hilo ni Ivumwe
sio sangu hilo ni Ivumwe
Msabato wa wapi wewe?SANGU =
Sa means Samaki
Ngu means Nguruwe
Msabato wa wapi wewe?
Umeshawahi kusoma Matendo ya Mitume sura ya kumi?Simaanishi kwamba natumia hiyo. HIYO NI NAJISI
Wazee wa kuchinjaPia huwa najiuliza ni nani huchinja wanyama pori wanaowindwa kwa risasi, kama Nyati, Twiga na wengine wakubwa?
Wazee wa kuchinja
Huyu ndo kitimoto wa majini, anaitwa sanguruwe ingawa baadaye alibatizwa na kuwa ngurumaji ili pia na wenzetu asalam aleyku wafaidi utamu wake..!
Photoshop at work.
Kwa hiyo unabisha?Photoshop at work.
Tunampelekea mkuu wa mkoa mpya wa Geita atusaidie kutatua mzozo........atachinjwa na nani? ndo habari ya buserere!