nitajitahidi japo mwanzo mgumu, hata kwa tabasamu lako baada ya kukufurahisha ni jambo jema naweza kusema umenifurahisha piah!!Nifurahishe wewe mimi sitaki kukufurahisha
nitajitahidi japo mwanzo mgumu, hata kwa tabasamu lako baada ya kukufurahisha ni jambo jema naweza kusema umenifurahisha piah!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio shida ya elimu ya Tanzania hii,Chuo cha afya mzee!!au unataka nikutajie kozi,wengi mmekalili kwamba mpka upite advance sio ivoo mkuu zama zimebadilika
NaUnGa mKoNo hOjA...[emoji30][emoji30][emoji30]Viboko pamoja na kazi ngumu
sijui nitakufurahisha kweli maake kufurahisha nacho kipaji aseee!!Nakusubiri kwa utulivu wa kipekee
sijui nitakufurahisha kweli maake kufurahisha nacho kipaji aseee!!
Sent using Jamii Forums mobile app
kipi kilikuaminisha!![emoji23][emoji23][emoji23]
Utaweza mi nakuamini
MWALIMU_MKUU WA HAPO CHUONI KWENU ANASEMAJE KUHUSU HILI LABDA ?Uzi wenyew uko ivi ni ni kijan nina miaka 21,nasoma Chuo now mwaka wa tatu ,sasa kuna msichana ambaye nilianzanaye mahusiano miaka miwili iliyo pita,sasa kufika mwaka huu analazimisha nimuoe ,anasema hata kam nasoma aje tupange ghetto tuanze maisha ivo ivo ,ye anasema mambo mengine tutajuanaga mbele ya safari,sasa wana jf naombeni ushauri please ,maana mi naona ananichanganyia mafaili tu!!mi nataka niachane naye ,mnasemaje ,ushaur wenu please!
Labda diploma!Siku hizi vijana mnaingia shule watoto sana, kama digrii yako miaka mitatu mwaka huu unaingia mtaani
Sent using Jamii Forums mobile app
Usishtushwe sana na jina chuo...Siku hizi vijana mnaingia shule watoto sana, kama digrii yako miaka mitatu mwaka huu unaingia mtaani
Sent using Jamii Forums mobile app
thank bro kwa ushaurMwaka 2010 nikiwa chuo mwaka wa pili, nilipata mtihan kama wako,
Ila nafikiri jibu sahihi ni hili,
Usioe,
Kama unampenda mtambulishe kwa ndugu zako.
Maliza Chuo, kuwa nae pia ukiwa umeshapata kazi na yeyw apate pia,
Kula ujana kidogo..
Kama ukimkumbuka ukiwa na hela zako wakat unakula ujana..
Basi ni mke sahihi
Sent using Jamii Forums mobile app
Usishtushwe sana na jina chuo...
Anaweza akawa anasomea certificate in air ticketing na kozi za namna hiyo
huoni avatarTaja hiyo kozi acha mbwembwe!
[emoji375][emoji375]