Tumilaujanja
Member
- Jan 7, 2019
- 75
- 15
Demiss Mungu anakuonaWewe kweli unasoma chuo hizo essay huwa unaandikaje mbna hakuna mpangilio
Vitunguu swaumu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaa mzee wa Vitunguu swaumu ataka vya maji saiviWewe kweli unasoma chuo hizo essay huwa unaandikaje mbna hakuna mpangilio
Vitunguu swaumu
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahaa ,hatar sanaSiku hizi vijana mnaingia shule watoto sana, kama digrii yako miaka mitatu mwaka huu unaingia mtaani
Sent using Jamii Forums mobile app
MatangoporiSiku hizi vijana mnaingia shule watoto sana, kama digrii yako miaka mitatu mwaka huu unaingia mtaani
Sent using Jamii Forums mobile app
kwenye afya hatunaga essay ningekua Mwalimu wa kiswahili ningefuata mpangilioWewe kweli unasoma chuo hizo essay huwa unaandikaje mbna hakuna mpangilio
Vitunguu swaumu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimewaza hivyo ila nikakumbuka zama zimebadilika sio wakati wetu ule mtu darasa la nne ana ndevuMatangopori
aya mkuu,,Miaka 21
mwaka wa3 how iz
it come?,,Ingekua
Kenya sawa coz
hakunaga Form5&6
nilipita shortcut mkuu sio mpaka upite advance!Matangopori
aya mkuu,,Miaka 21
mwaka wa3 how iz
it come?,,Ingekua
Kenya sawa coz
hakunaga Form5&6
wakuu sasa ni zama Mpya sio mpak upite advance ninasoma Chuo cha kati wazee!Nimewaza hivyo ila nikakumbuka zama zimebadilika sio wakati wetu ule mtu darasa la nne ana ndevu
Sent using Jamii Forums mobile app
thank kwa ushauri !!Wewe na huyo binti wote bado mna akili za kitoto msioane kwa sababu mnaweza tengeneza familia ya watoto wenye akili kama zenu. Msioane tafafhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Chuo cha afya mzee!!au unataka nikutajie kozi,wengi mmekalili kwamba mpka upite advance sio ivoo mkuu zama zimebadilikamiaka 21 chuo mwaka wa 3 labda Chuo cha VETA
Halafu maisha ya chuo hua yanawadanganyaga sana hawa wadogo zetu.Siku hizi vijana mnaingia shule watoto sana, kama digrii yako miaka mitatu mwaka huu unaingia mtaani
Sent using Jamii Forums mobile app
ahahhaahahahhahaoa tu
watoto wa ujanani ni wazuri sana