Analazimisha kunizalia

Analazimisha kunizalia

Umetembea naye ukitegemea nini? Kwahiyo unataka atoe mimba, unajua hatari inayomkabili akiamua kutoa mimba?

Wewe je una uhakika uko mbeleni utakuja kupata mtoto baada ya kutoa hiyo mimba?

Kitanda hakizai haramu brother, kubali mtoto huyo uendeleze ukoo😀😀.

BTW Ilikuwaje ukatembea na mwanamke ambaye hana sifa za kuwa mzazi mwenzako? Ulivutiwa na nini kwake?
Sikuvutiwa na kitu
NI UPWIRU
 
Una ka sabufa na ka tv geto?
Vip cinema zetu inaonesha?[emoji23][emoji23]

Ladies kuna kitu hua wanaangalia kwa mwanaume wanaemtaka
Ikiwa ameona vitamfaa basi hapo lazima mtaenda sambamba!
Normalize kutumia neno baadhi.

wengine kubeba mimba ilibidi tutishiwe kupelekwa polisi ikiwa itatokea ujanja ujanja mimba ikapotea katika mazingira ya kutatanisha.
 
Sikumbuki kama nliwahi kumwaga ndani
2 nlimuuliza kabla ya kufanya na alisema mwenyewe kua hayuko danger days

Sasa mtu kashapanga kuzaa na wewe halafu unamuuliza swali la danger days? 🤦‍♀️

Ungekuwa na jibu la uhakika hujawahi kumwaga ndani basi siku zake anazosema hazioni ingebidi aendelee kuzitafuta hadi azione....tofauti na hapo you are the father
 
Sasa mtu kashapanga kuzaa na wewe halafu unamuuliza swali la danger days? 🤦‍♀️

Ungekuwa na jibu la uhakika hujawahi kumwaga ndani basi siku zake anazosema hazioni ingebidi aendelee kuzitafuta hadi azione....tofauti na hapo you are the father
Aloo😂😂 hi hapana
 
Hi ni ajabu
Huyu bi dada sijui anawawaza nini

Anyway
Kuna mdada mmoja nipo nae kwenye mahusiano,
Japo mahusiano yetu sio yale stroong ,tunawasiliana ila sio kwa kiasi kile
Kuna kipindi alisema anataka tuzae
Nkamkatalia na kumuambia sihitaji kuwa na mtoto kwa sasa
Tukaachana na hizi habari kwa kipindi kifupi,
Sasa hapa juzi ananambia haoni tena siku zake na blah blah kibao.
Msimamo wangu kwake ni jle ule mimi sitaki kuwa na mtoto kwa sasa
Ila haniewi na hasikii tena
Anadai eti ni bahati mbaya
Na istoshe yeye ni nesi na kwa kipindi choote tulichokua pamoja hajawahi kushika mimba.
Why this time?
Why this time si ndo muulizane na yeye dogo!
 
Hi ni ajabu,

Huyu bi dada sijui anawawaza nini

Anyway
Kuna mdada mmoja nipo nae kwenye mahusiano,

Japo mahusiano yetu sio yale stroong ,tunawasiliana ila sio kwa kiasi kile kuna kipindi alisema anataka tuzae, nikamkatalia na kumuambia sihitaji kuwa na mtoto kwa sasa.

Tukaachana na hizi habari kwa kipindi kifupi,

Sasa hapa juzi ananambia haoni tena siku zake na blah blah kibao. Msimamo wangu kwake ni jle ule mimi sitaki kuwa na mtoto kwa sasa ila haniewi na hasikii tena.

Anadai eti ni bahati mbaya na istoshe yeye ni nesi na kwa kipindi choote tulichokua pamoja hajawahi kushika mimba.

Why this time?
Hutaki mtoto na unaendelea kula mzigo nae bila kinga wala tahadhari yoyote,surelly?

saa zingine mnaleta masikhara kwenye mambo siriouz ujue
 
Sikumbuki kama nliwahi kumwaga ndani
2 nlimuuliza kabla ya kufanya na alisema mwenyewe kua hayuko danger days
Mwanamke akitaka kuzaa na wewe huchomoki hata ukwishe kulipia jasho la mwisho isipo kuwa tuu labda usimwage ndani na hapo ndiyo pona yako.

Tofauti na hapo wewe ushakuwa baba
 
Back
Top Bottom