Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,954
- 80,256
Wala sikutafuti kwa udi wala uvumba.
Wewe ndio ulinianZishia thread ukasema kuwa mambo yetu ya pm nayaleta jukwaani wakati sijawahi kufanya hivyo.
Na sitakuja kufanya hivyo kwa sababu ulinitongoza mwenyewe na picha zako ulizituma bila mimi kukuomba.. Hata kama ni za utupu ila mimi kama mwanaume lazima nikutunzie heshima yako.
Siwezi kuleta mambo ya pm huku jukwaa i na sijawahi na sitafanya hivyo acha kujishtukia tom boy pori wewe. Kijuso!
Ndugu upo