Anakwenda Lembeni

Anakwenda Lembeni

Duuh sio Bure aisee nyie watu imekuwaje?. Why cant you hold your peace?? After all hii ni mitandaoni tu let it pass. Akikuita Tomboy you become one??
Binafsi nimekua nikiwafuatilia sana hawa wawili, na mbaya inanisikitisha kuona wakinyukana kwa jazaba na for dheha.
Hakika haipendezi.
 
0a94cb7753b6b770b6b3183027eada51.jpg
Huu utani umeanza lini[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
 
Back
Top Bottom