Mr Rocky upo baba? Moyes imekuaje tena? Naskia Arushaone ndio anaifundisha man u kwasasa, msaidizi wake Mndengereko
Nipo mkuu utafiti mzima aiseMr Rocky upo baba? Moyes imekuaje tena? Naskia Arushaone ndio anaifundisha man u kwasasa, msaidizi wake Mndengereko
Nipo mkuu utafiti mzima aise
Pasaka ukala kimya kimya ukaona wageni tutakuwa wengi sana
Moyes bana tumemchoka yeye anabaki sehem ile ile tuu hasogei wala hafurukuti kutaka kujiondoa Arushaone amepeleka vitunguli tuone kama vitasaidia na Mndengereko anaenda eti kuwafundisha mazoezi ya kuogelea sasa sijui mpira na kuogelea wapi na wapi
:behindsofa::behindsofa::behindsofa::behindsofa::behindsofa::behindsofa:Pasaka hii nilikua mgeni wa mtu kaka. Ugeni hadi raha
yanasaidia kukata kitambi mku si unaona wachezaji wamekuwa wazito wananenepeana hovyoo.Nipo mkuu utafiti mzima aise
Pasaka ukala kimya kimya ukaona wageni tutakuwa wengi sana
Moyes bana tumemchoka yeye anabaki sehem ile ile tuu hasogei wala hafurukuti kutaka kujiondoa Arushaone amepeleka vitunguli tuone kama vitasaidia na Mndengereko anaenda eti kuwafundisha mazoezi ya kuogelea sasa sijui mpira na kuogelea wapi na wapi
moyes kazingua tumempiga chini sasa hivi tumemweka giggs aongoze timu lakini maagizo yote anapata kutoka kwetu moyes alikuwa anajifanya hasikii maagizo yetu ndo maana timu ikamshiindaMr Rocky upo baba? Moyes imekuaje tena? Naskia Arushaone ndio anaifundisha man u kwasasa, msaidizi wake Mndengereko
yanasaidia kukata kitambi mku si unaona wachezaji wamekuwa wazito wananenepeana hovyoo.
moyes kazingua tumempiga chini sasa hivi tumemweka giggs aongoze timu lakini maagizo yote anapata kutoka kwetu moyes alikuwa anajifanya hasikii maagizo yetu ndo maana timu ikamshiinda
nakataa hapana kwa herufi kubwa tunajipanga mkuu tuliteleza tumeamka tunajikunguta vumbi maisha yanaendelea tena tutarudi kwa kasi ya ajabuHuoni kama mwisho wa man u ndio umefika kaka?
mkuu nipo sana busy busy kidogo tu ila napatikana.labda useme nina hangover za swimming maana this pasaka it was crazyMkuu salama mbona umepotea sana aise au hangover za tikiti maji ulizokula pasaka aise
mkuu nipo sana busy busy kidogo tu ila napatikana.labda useme nina hangover za swimming maana this pasaka it was crazy
Nipo mkuu utafiti mzima aise
Pasaka ukala kimya kimya ukaona wageni tutakuwa wengi sana
Moyes bana tumemchoka yeye anabaki sehem ile ile tuu hasogei wala hafurukuti kutaka kujiondoa Arushaone amepeleka vitunguli tuone kama vitasaidia na Mndengereko anaenda eti kuwafundisha mazoezi ya kuogelea sasa sijui mpira na kuogelea wapi na wapi
Mr Rocky upo baba? Moyes imekuaje tena? Naskia Arushaone ndio anaifundisha man u kwasasa, msaidizi wake Mndengereko
.....
![]()
Hahahaha!! Kaka kazi ni tamu sana endapo ina mafanikio..Wish me luck nisijetemeshwa kibarua.