Chakaza
Platinum Member
- Mar 10, 2007
- 40,968
- 74,485
kwa jinsi hii anaweza kuota ndoto zileeee
...Mr Rocky upo baba? Moyes imekuaje tena? Naskia Arushaone ndio anaifundisha man u kwasasa, msaidizi wake Mndengereko
Naam, raha unyooshe miguu na kubembeabembea kidogo na mamaa pembeni. Huko ndio kula raha mkuu.
View attachment 153503
Sent from my iPad using JamiiForums
hivi wangedondoka tungeenda kuwatibu India kwa kodi zetu au?
usijali i will be your swimming master when you get the chance.ila mmi ni mzee wa swimmming pool ukitaka maji ya baharini mtafute utafitiDah natamani sana swiming aise yaani nikipata nafasi hiyo ni balaa japo sasa nahitaji mwalimu bana wa kunifundisha
hahah mku umenikumbusha mbali sana nakumbuka hii picha ilipigwa jamaiicaNaam, raha unyooshe miguu na kubembeabembea kidogo na mamaa pembeni. Huko ndio kula raha mkuu.
View attachment 153503
Sent from my iPad using JamiiForums