Anaitwa Zuhura Othman aka Zuchu, yupo YouTube analipia wimbo wake Namba Zisome!

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
31,139
Reaction score
88,800
Inasemekana watu wengi wameondoka mijini na kwenda vijijini kwao kusiko na fiber, kwahiyo wasanii wanakosa viewers.

IMG_4243.jpeg

Ikumbukwe anavotoa Sukari 2021 alipiga views Mil 1 chini ya masaa 24.
IMG_4245.jpeg

Sema nyakati zinabadirika.

There’s a reason Reason was sponsored, because reason without reason won’t reason properly.
 
Ki ukweli uchaguzi wa 2025 umebadilisha sana maisha ya watanzania mahali pakubwa.

Kuna namna hata starehe watu wameanza kupunguza, Watu wameanza kujua kuna kuishi kwa mfumo wa akiba,

Uchaguzi umefanya hata ccm wenyewe kutojiamini. Hakuna Mtu anae vaa nguo ya ccm, pikipiki na baskel za ccm hazionekani tena.

Wasanii wanapitia hali ngumu sana, Hata wao wataanza badilisha maisha walozoea, hakuna matamasha ya uhakika, hakuna Watizamani wa kazi zao, hata wadhamini wanakosa kwasababu jamii haivutiwi na hao wasanii ukiwatumia kama watangazaji.
 
Kuna mwanangu pikipiki ya CCM, kaishonea cover, yale maneno hayaonekani
 
Ki ukweli uchaguzi wa 2025 umebadilisha sana maisha ya watanzania mahali pakubwa.

Kuna namna hata starehe watu wameanza kupunguza, Watu wameanza kujua kuna kuishi kwa mfumo wa akiba,

Uchaguzi umefanya hata ccm wenyewe kutojiamini. Hakuna Mtu anae vaa nguo ya ccm, pikipiki na baskel za ccm hazionekani tena.

Wasanii wanapitia hali ngumu sana, Hata wao wataanza badilisha maisha walozoea, hakuna matamasha ya uhakika, hakuna Watizamani wa kazi zao, hata wadhamini wanakosa kwasababu jamii haivutiwi na hao wasanii ukiwatumia kama watangazaji.
Exactly
 
Haka ka kicheche tulikakosakosa Mbeya wana tunakatamani ipo siku kata net tu!
 
Inasemekana watu wengi wameondoka mijini na kwenda vijijini kwao kusiko na fiber, kwahiyo wasanii wanakosa viewers.

View attachment 3520276

Ikumbukwe anavotoa Sukari 2021 alipiga views Mil 1 chini ya masaa 24. View attachment 3520279
Sema nyakati zinabadirika.

There’s a reason Reason was sponsored, because reason without reason won’t reason properly.
Wanaimba matusi pumbavu zao
 
Siku wakitangaza tamasha ni kwenda na manati tuu lazima mtu ale kombeo afu kimya kimya nasepa
 
Back
Top Bottom