Anaitajika: Chef wa Chakula cha Kiafrica (African Food Menue)

HR CONSULTANT

Member
Jun 7, 2010
76
8
Anaitajika Mpishi mwenye uzoefu mkubwa wa kipika chakula cha kiafrika kwaajiri ya mgahawa ulioko block 41 Kinondoni. Nitumie msg DM kwa mawasiliano zaidi.
 
Anaitajika Mpishi mwenye uzoefu mkubwa wa kipika chakula cha kiafrika kwaajiri ya mgahawa ulioko block 41 Kinondoni. Nitumie msg DM kwa mawasiliano zaidi.
Kuna mpishi wa vyakula hivyo...alipata tuzo ..
Kama uko serious nimwambie ..
 
Chakula cha Kiafrika kikoje? Nijuavyo mimi Afrika ni kubwa na kila eneo wana vyakula vyao, unaposema vyakula vya kiafrika unamaanisha nini hasa?
 
Vyakula vipi? mbwa, konokono, senene, mlenda, kisamvu au vipi elezea.
 
Back
Top Bottom