Anahujumiwa! Wafanyabiashara wakubwa wakutana kwa siri, waazimia kuficha fedha zao, kutoagiza bidhaa

singidadodoma

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
4,394
1,532
12510429_1020094231388368_6902643882982402743_n.jpg
 
Mkapa amejichafua kwa kubeba masanduku ya kura fake, wizi wa mali za umma katika kumalizia uraisi wake na uchakachuaji wa matokeo ya kura.

uovu hufunika kwa nguvu kuliko wema. Kaharibu historia na mema yake yote na kwa hiyo hakuna mtu anamwamini huku heshima yake ikipotea kama mshumaa kwenye upepo.

Anglikuwa yule mkapa wa zamani, bila shaka angeweka historia. Lakini sasa, yeye atulie aasubiri matokeo ya ufufuo wa taifa.

Na hiyo petroli fake maana yake nini? Inapoingia wataalamu wa viwango wako wapi? Acheni utani.

Wafanya biashara wanapogoma kuingiza bidhaa na kufischa fedha, wanareact kwenye maumivu yapi? Naomba muwe mnatoa ufafanuzi japo kwa muhtasari ili tuweze kujadili.

Asubuhi njema.
 
Sikuelewi mkuu....
Ebu yataje hayo mema ya Ben wakati akingali magogoni aiseeee....:confused:
 
Wasicheze na Serikali, kwa hiyo walitaka wasilipe kodi? basi waende Marekani kuwekeza kama itawavumilia...

Serikali ina mbinu nyingi sana za kudeal na watu kama hawa, nawasihi sana waache Mara moja, watajuta, wakumbuke aliyepo Ikulu ni JPJM siyo JK.
Wewe unaandika kwa kuangalia upande mmoja tu ttambua kuwa nyuma ya hawa wafanya biashara kuna watanzania wengi wapo kwenye ajira ndani ya makampuni ya hao wafanya biashara hivyo elewa iwapo yatatokea hayo watakao athirika sana ni hao waajiliwa.
 
Usalama wa taifa wafanye kazi yao kuwatambua hao wafanyabiashara na hatua mathubuti za haraka zichukuliwe dhidi yao!! Ikithibitika wanataka kuhujumu uchumi hata leseni zao za biashara zifutwe toune watakimbilia wapi!!!
Siyo kufuta leseni za biashara zao tu bali kutaifisha chochote chake kilichopo katika ardhi ya Tanzania, hakika hawataweza.
 
kumbe hii nchi haiwezwi kuongozwa na wapinzani. hatua za kitoto zilizochukuliwa na serikali, eti wafanyabiashara wanalalamika? tungeingia je, watu wangekufa kabisa. tungewabana mbavu hadi waonyeshe makaratasi.
 
Wewe unaandika kwa kuangalia upande mmoja tu ttambua kuwa nyuma ya hawa wafanya biashara kuna watanzania wengi wapo kwenye ajira ndani ya makampuni ya hao wafanya biashara hivyo elewa iwapo yatatokea hayo watakao athirika sana ni hao waajiliwa.
Kwahiyo unataka kumaanisha kuwa wafanya biashara waachwe wafanye watakavyo? Hivi kila mtu akiachwa afanye atakavyo Nchi itakalika hii? Tena ole wao inatakiwa wakutane na nguvu isyo ya kawaida ili wasirudie upuuzi huu.
 
kumbe hii nchi haiwezwi kuongozwa na wapinzani. hatua za kitoto zilizochukuliwa na serikali, eti wafanyabiashara wanalalamika? tungeingia je, watu wangekufa kabisa. tungewabana mbavu hadi waonyeshe makaratasi.
labda uelewa wangu mdogo bado sijaelewa kwakweli
 
Wewe unaandika kwa kuangalia upande mmoja tu ttambua kuwa nyuma ya hawa wafanya biashara kuna watanzania wengi wapo kwenye ajira ndani ya makampuni ya hao wafanya biashara hivyo elewa iwapo yatatokea hayo watakao athirika sana ni hao waajiliwa.
Kwa hiyo wasilipe kodi kwakuwa wameajiri watanzania wengi?,what is this aiseee!!!
 
Back
Top Bottom