Wakwetu03
Senior Member
- Sep 15, 2010
- 197
- 87
Anahitajika mwalimu wa kufundisha mwanafunzi wa kidato cha tatu kipindi hiki cha likizo.
VIGEZO
- atakuwa anamfundishia nyumbani
- atakuwa anamfundisha yale masomo matano basic
- awe anaishi Mbeya mjini
ZINGATIA utakapokuwa unafanya mawasiliano utaje na bei zako mwanafunzi anaingia kidato cha tatu january 2018
Wasiliana nasi kupitia
P. Box 2213,Mbeya.
Email:tubedevelopment17@gmail.com
Phone:0688241249