Anahitajika mtu mwenye talent ya kutangaza

kioju

JF-Expert Member
Apr 28, 2014
804
271
Wakuu habari zenu, poleni na shughuli mbali mbali, leo niko hapa kuwatangazia fursa ya kazi, kabla sijatoa sifa niweke wazi tu kuwa ni mimi binafsi nahitaji mtu huyo ili kufanya nae kazi ambayo iko kwenye mchakato wa kuimalizia ila kuna upungufu wa mtu huyu
Sifa.
Awe na umri usiopungua miaka 25 na usiozidi 28
Awe ni msichana
Awe na shahada ya sheria(asiwe amepitia Law school hao hawahusiki)
Asiwe mwajiriwa
Awe na uwezo wa kujieleza na ujasiri wa kufanya kazi katika mazingira yote
Awe na uwezo binafsi wa kujenga idea kwa kazi atakayopewa
NB
Ni vizuri kufahamu na kuwekana wazi kuwa ukihitaji hii nafasi tutakuwa partnership na hivyo tunajiajiri wenyewe
Kwasababu hiyo basi ukihitaji na uko serious na hii kazi nipe namba yako ya simu inbox nitakutafta tuzungumze, narudia mtu serious na kazi
Asanteni
 
We umeoa kwanza
Mkuu tafadhari kama huitaji acha sikulazimishi swala la mimi kuoa linakuja vipi hapo kama mnawaza habari za mahusiano hapa mtachelewa sana kuendelea tuweni na mtazamo chanya, basi mje na boyfriend/girlfriend wako kama unahisi kuibiwa
 
Sikuhizi utangazaji lazima uwe mwanasheria siyo?
Kila la kheir utawapata ila kama upo serious na unachokitaka angalia super talent and not the matter of profession.
 
Sikuhizi utangazaji lazima uwe mwanasheria siyo?
Kila la kheir utawapata ila kama upo serious na unachokitaka angalia super talent and not the matter of profession.
Ipo siku utanielewa ila kwa sasa huwez tuvumiliane tu ila asante kwa ushauri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom