kioju
JF-Expert Member
- Apr 28, 2014
- 804
- 271
Wakuu habari zenu, poleni na shughuli mbali mbali, leo niko hapa kuwatangazia fursa ya kazi, kabla sijatoa sifa niweke wazi tu kuwa ni mimi binafsi nahitaji mtu huyo ili kufanya nae kazi ambayo iko kwenye mchakato wa kuimalizia ila kuna upungufu wa mtu huyu
Sifa.
Awe na umri usiopungua miaka 25 na usiozidi 28
Awe ni msichana
Awe na shahada ya sheria(asiwe amepitia Law school hao hawahusiki)
Asiwe mwajiriwa
Awe na uwezo wa kujieleza na ujasiri wa kufanya kazi katika mazingira yote
Awe na uwezo binafsi wa kujenga idea kwa kazi atakayopewa
NB
Ni vizuri kufahamu na kuwekana wazi kuwa ukihitaji hii nafasi tutakuwa partnership na hivyo tunajiajiri wenyewe
Kwasababu hiyo basi ukihitaji na uko serious na hii kazi nipe namba yako ya simu inbox nitakutafta tuzungumze, narudia mtu serious na kazi
Asanteni