Anahitajika mtu mwenye talent ya kutangaza

Wakuu habari zenu, poleni na shughuli mbali mbali, leo niko hapa kuwatangazia fursa ya kazi, kabla sijatoa sifa niweke wazi tu kuwa ni mimi binafsi nahitaji mtu huyo ili kufanya nae kazi ambayo iko kwenye mchakato wa kuimalizia ila kuna upungufu wa mtu huyu
Sifa.
Awe na umri usiopungua miaka 25 na usiozidi 28
Awe ni msichana
Awe na shahada ya sheria(asiwe amepitia Law school hao hawahusiki)
Asiwe mwajiriwa
Awe na uwezo wa kujieleza na ujasiri wa kufanya kazi katika mazingira yote
Awe na uwezo binafsi wa kujenga idea kwa kazi atakayopewa
NB
Ni vizuri kufahamu na kuwekana wazi kuwa ukihitaji hii nafasi tutakuwa partnership na hivyo tunajiajiri wenyewe
Kwasababu hiyo basi ukihitaji na uko serious na hii kazi nipe namba yako ya simu inbox nitakutafta tuzungumze, narudia mtu serious na kazi
Asanteni
Unahitaji mtu mwenye talent ya kutangaza then unaweka qualification kuwa awe na bachelor ya law...kwanini isiwe journalism and mass communication? Au ndo kusema talent za kutangaza zipo kwa wanasheria na sio wanahabari?Tuanzie hapo mkuu.
 
Umesema talent nadhani ralent na shule kidogo vinakinzana maana mtu mwenye talent hata kama hajasoma ukimpa kamsasa kidogo anaweza
 
Si wanasheria wote wanauwezo wa kutangaza niliposema sifa hizo namaana yangu jaman sasa kama tangazo halikufai basi talent does not mean your uneducated guys tusichanganye hilo
 
Umesema talent nadhani ralent na shule kidogo vinakinzana maana mtu mwenye talent hata kama hajasoma ukimpa kamsasa kidogo anaweza
Labda niseme hivi kwa mtu aliyesoma sheria mwenye talent ya kutangaza maana imejua kama nimekosea sana. Wasiwasi wenu ni nini una sifa nitafte huna pole
 
Hujielewi wew..unatafuta mbunye kinguvu umefeli
 
..na ya nini kuniuliza swali la kibwege?
.bwege wewe!
Hapo ndio utajua JF wamesimamaje, watu kama hawa wanatukana wenzao makusudi na kwa kurudiarudi, lakini wanaachwa tu et kisa JF EXPERT MEMBER(Sijajua kama expert hiyo wametunukiwa vyeti au??,)
 
...unanihadithia,
..unaniuliza,
.ama unanilalamikia
...????
 
Siku ukitafuta mwanasheria naona utataka mwenye degree ya udaktari.
 
Wakuu habari zenu, poleni na shughuli mbali mbali, leo niko hapa kuwatangazia fursa ya kazi, kabla sijatoa sifa niweke wazi tu kuwa ni mimi binafsi nahitaji mtu huyo ili kufanya nae kazi ambayo iko kwenye mchakato wa kuimalizia ila kuna upungufu wa mtu huyu
Sifa.
Awe na umri usiopungua miaka 25 na usiozidi 28
Awe ni msichana
Awe na shahada ya sheria(asiwe amepitia Law school hao hawahusiki)
Asiwe mwajiriwa
Awe na uwezo wa kujieleza na ujasiri wa kufanya kazi katika mazingira yote
Awe na uwezo binafsi wa kujenga idea kwa kazi atakayopewa
NB
Ni vizuri kufahamu na kuwekana wazi kuwa ukihitaji hii nafasi tutakuwa partnership na hivyo tunajiajiri wenyewe
Kwasababu hiyo basi ukihitaji na uko serious na hii kazi nipe namba yako ya simu inbox nitakutafta tuzungumze, narudia mtu serious na kazi
Asanteni

Unahitaji huyo mtu kama partner wa kuanza nae kubuni kazi au unataka mtu ambae atakuja kuanza kazi moja kwa moja kwa maana pesa ya mshahara/ kujikimu ya kumlipa tayari unayo? ..hebu weka wazi hapo ndugu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom