Anahitajika Mdada wa Marketing kwa Arusha

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Jun 4, 2011
7,789
8,914
Anahitajika Mdada mwenye certificate ya Marketing. Kwa ajili ya kuuza product yetu mpya itakayo anza muda wowote kuwnzia sasa.

Vigezo.

1. Uzoefu usio pungua mwaka 1 kwenye Masoko
2. kuijua Geografia ya Arusha vyema
3. Certificate ya Masoko kutoka Chuo kinacho tambulika.
4.Kujua kusoma ba kuandika
5. Kujua kutumia mitandao ya kijamaii hasa facebook na Instagram.
6 Mbunifu
7.Mwenye kujituma sana.

Kama una mtu anaye meet vigezo basi atume barua na CV kwa email cshauri@gmail.com

Mshahara itakuwa ni negotiable.

Mwisho wa kupokea barua ni tarehe 15 April 2020


NB: Sitajibu chochote Inbox hivyo mtu asijaribu kunitumia PM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom