Habarini. Kama kuna yoyote ana mdada wa kazi anayemjua anatafuta kazi anicheki PM.
Anahitajika kwenda kufanya kazi Ruangwa, Lindi. Muhitaji ni mwanamama mtu mzima mtumishi wa serikalini. Hana mtoto wala familia. Watakua ni wao pekee wawili.

Mimi nipo tayari, Wewe utakuwa
Unakuja kututembelea mara ngapi kwa siku
Natamani niwe mkamwana wa Boss
A. K. A mke wa mtoto wa Boss
(Watu wa Fashion World Mmenielewa)