Anahitajika mdada wa kazi Ruangwa, Lindi

Dr Rutagwerera Sr

JF-Expert Member
Dec 21, 2011
5,797
11,325
Habarini. Kama kuna yoyote ana mdada wa kazi anayemjua anatafuta kazi anicheki PM.

Anahitajika kwenda kufanya kazi Ruangwa, Lindi. Muhitaji ni mwanamama mtu mzima mtumishi wa serikalini. Hana mtoto wala familia. Watakua ni wao pekee wawili.
 
Acha ukuadi mkuu ebu eleza n kazi ngan binti( mdada) wa watu anaenda kufnya.
 
Mimi nipo tayari, Wewe utakuwa
Unakuja kututembelea mara ngapi kwa siku
Natamani niwe mkamwana wa Boss
A. K. A mke wa mtoto wa Boss
(Watu wa Fashion World Mmenielewa)
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom