Kindimbajuu
JF-Expert Member
- Jul 8, 2009
- 710
- 245
Kindimbajuu, dada P hakuwa na mahusiano na mtu mwngne bali mr.X alikuwa anatafta sababu ya kumuacha dada P kwan inakuwaje mtu umuamche mchumba wako uliemu-engage thn ndan ya mwez uanze process za kumuoa mwingne? hapo huon km mr.X alikuwa ana mahusiano mengne?????
unachosema chaweza kuwa kweli.
ila mimi binafsi ninaumia sana ninapoachwa na ninae mpanda, lakini kwa upande mwingine tunatakiwa tukubali kuwa ni vema mtu akikuacha wakati wa uchumba, kuliko ktk ndoa