Anahitaji kukeketwa kwa hiari yake. Je ni kosa kisheria?

kwanini ni kosa? kutoga masikio ni kosa? kutoboa kitovu je? why kukata papuchi iwe kosa? kwani ni mali ya serikali?
ni kosa kwa sababu ni sawa na kujaribu kujiua .. wakati wa kujifungua wanakufa sana according to wao me sijakeketwa ...

ni kosa kujinyima raha
 
oooh why wanakufa?
lile kovu huwa linachanika wakati wa kujifungua na kupoteza damu nyingi kupelekea kufa kama hospital hawatakuwa na damu .. sasa wakaona kuzuia vifo kutokana na kukosa damu wakati wa kujifungua hakuna kukata utamu
 
kwani kukeketwa kunaachaje kovu? unajua kukeketwa kunakuaje miss lakini?
 
Ni kosa kubwa kumbuka papuchi ni ya kwako lkn mlaji ni mwingine kwahyo unapoikata na kuondoa ladha yake halisi unamnyima mlaji haki yake ya kuinjoi hyo papuchi
 
kwani kukeketwa kunaachaje kovu? unajua kukeketwa kunakuaje miss lakini?
kwa tanzania wanakata kinembe kile pale .. kuna baadhi ya nchi kama namibia wanavuta kinembe nje kwa hiyo kinakuwa kirefu kama kidudu.... kuna nchi wanavuta mashavu ni aina ya ukeketaji japo kwa kingereza wanayapa majina tofuati ya yote yanapigwa vita kitaifa .. sasa hii ya kwetu ni hatari
 
hata huku bongo kuna ambaoa hawakati kinembe wanatoa govi kwenye kinembe .sasa ipi haikubaliki bongo au ni aina zote?
 
Utayari na nia haufanyi batili kuwa halali. Kama jambo limefanywa kuwa ni kosa la jinai,litabaki kuwa ni kosa hata kukiwa na utayari. Kwa Tanzania,ukeketaji ni jinai.
 
Back
Top Bottom