Anahihitaji Msaada....Kama Wewe ni Ofisa Wa Sensa...Unaweza Kusaidia!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Anahihitaji Msaada....Kama Wewe ni Ofisa Wa Sensa...Unaweza Kusaidia!!!

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by NasDaz, Jul 25, 2012.

 1. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #1
  Jul 25, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,653
  Trophy Points: 280
  Ni kijana mdogo tu ambae kimsingi anahitaji msaada kwa wenye uwezo wa kusaidia. Mie, nimejaribu hadi pale nilipoweza na kinachohitajika kwa sasa ni yeyote mwenye uwezo na moyo kusaidia pale ambapo nae ataweza. Kimsingi, yeye anasoma kwenye moja ya hivi vyuo vilivyopo DSM akisoma Certificate ni Tourism Management. Kwa bahati mbaya, amesimamishwa masomo kutokana na kukosa ada kwani tangu aanze, amelipa shilingi laki moja tu. Hivyo basi waungwana na wandugu; kwa yeyote atakayeweza kumsaidia apate angalau hiki kibarua cha uandikishaji wa sensa; basi amsaidie ili chochote kitu atakachopata akapeleke huko chuoni. Kutokana na elimu yake (kidato cha nne) bila shaka ana sifa za kuwa karani katika zoezi hili.

  Kwavile hana simu; basi ningependa kuweka hapa namba ya kaka yake ambayo ni 0716 67 09 79.
   
 2. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #2
  Jul 25, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,497
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Ofisa wa sensa sidhan kama utampata humu..cz kulikuwa na maswal 2najiuliza kuhusu sensa bt hakuna ofisa alojitokeza.
   
 3. Catherine

  Catherine JF-Expert Member

  #3
  Jul 25, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 1,263
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Alishatuma maombi ya kufanya hiyo kazi?
   
 4. nziriye

  nziriye JF-Expert Member

  #4
  Jul 25, 2012
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 960
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  lakini wanaohitajika ni wale waliomaliza chuo na wasiopata ajira,vp alituma maombi ya hiyo kazi ama?
   
 5. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #5
  Jul 25, 2012
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Amechelewa kidogo. Deadline ilikuwa Leo Tisa na nusu. Alichotakiwa ni kujaza fomu, kubandika picha ake, kuatach vyeti vya form four ama six kupitisha serikali za mitaa basi. Hawatoa kazi kwa huruma. Tatizo hamsomi matangazo mnataka kupewa kwa huruma, wala hatutafika.
   
 6. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #6
  Jul 26, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,653
  Trophy Points: 280
  Aliyekuambia hajaomba ni nani?! Wote sie tumewahi kufanya vibarua.....lakini wakati tunafanya unajua kabisa kwamba mwenzetu huyu anachotafuta hapa ni pesa ya kulia bata na huyu ndio income yenyewe ya ku-support family needs!! Katika hili la sensa wapo watakaobebwa/kushikwa mkono wakati hawapo in needy kiasi hicho wakati huyu anashida ya kweli kweli kwani lengo ni kwamba akipata chochote lengo lake akalipie ada! Pamoja na kwamba ameomba, hana uhakika kwamba atapata....kwahiyo mwenye busara zake ni heri ya kumshika mkono huyu ambae ana shida ya kulipa ada kuliko kumshika mkono yule anayetaka apate hela ya kuchezea!!! Nakumbuka nilishawahi kufanya kibarua cha data entry mahali fulani....kuna dada mmoja alikuwa anapiga data, kisha anahesabu "hapa nimeshapata pesa ya chips na kuku, bado soda sasa!" Na akishaona hesabu ya chips+kuku+soda imekamilika; anaondoka zake wakati wengine hapo ndo tulikuwa tunatafuta hadi kodi ya chumba!
   
 7. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #7
  Jul 26, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,653
  Trophy Points: 280
  Ameshatuma lakini hana uhakika kama atapata!! Unajuwa mtu unavyokuwa na shida unakosa kabisa confidence! Hali kama hii mtu hawezi kuifahamu hadi imkute!
   
Loading...