Anafungua usb modem zote

Sugar wa Ukweli

JF-Expert Member
Jun 25, 2009
373
37
nivel tangazo.jpg
wasilianeni na huyu dogo anaeweza kufungua usb modem zote,anapatikana kwa no 0713482850 na 0684 482853,mie ninayo ya voda hapa natumia line ya zain
 
Ndugu mbona wewe upo siku nyingi hapa JF halafu unakuwa kama mgeni aliyejiunga leo? kwa kifupi huyo mtu kwa hapa JF hana market yoyote, nenda jukwaa la tekinolojia tafuta thread inayoitwa JINSI YA KU UNLOCK MODEM. watu wamepewa hiyo elimu bure, kama umeliwa pesa kwa ajili hiyo pole sana. usiwe mvivu wa kupekuwa majukwaa humu JF. HAYA WADU SOFTWARE NI HIYO HAPA HALIWI MTU PESA. View attachment 22816
 
lakini kiongozi kumbuka si wote tuna maujuzi ya hizo stuff
 
Pamoja na yote huu wote ni uchakachuaji tu.Tunashukuru kwa taarifa hata hivyo.
 
Samahani matola,
hiyo sotware unaistall kwenye computer halafu inakupa option ya kuanlock au ? Shule tafadhali
 
Back
Top Bottom