Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,703
- 149,936
Ajue tu watu hawakuchagua waziri wa ujenzi na miundombini bali walichagua Mkulu wa kijiji chetu.
Pia asisahau hata yule mtangulizi wake nae alianzisha na kuteleleza miradi kibao kama vile ujenzi wa UDOM, Daraja la Kigamboni,Mlimani City,Uwanja Mpya wa Taifa,n.k lakini bado kura zake zilishuka kwa asilimia 20 maana watu humpima kiongozi kwa mambo mengi zikiwemo hata kauli na matendo yake.
Namsisitizia na huyu wa sasa aelewe hatukuwa na uchaguzi wa waziri wa ujenzi na miundombinu bali tulikuwa na uchaguzi wa mkulu wa kijiji hivyo kama yeye anadhani atatupumbaza kwa miundombinu tunayojenga kwa fedha zetu basi ajitathimini upya.
Mkulu huyu yuko busy ku-stage matukio makubwa ya uzinduzi na ufunguzi kwa kuyaonyesha mubashara akizani tutadanganyika ili hali ni huyu huyu aliesema mambo ya mjengoni yafanyike gizani ili wanakijiji wachape kazi huku mwenyewe anajitafutia kiki.
Hatudanganyika.