Anafikiri alipotea njia

Anafikiri alipotea njia

Basi japoni ngumu ila itabidi ajikaze kiume. Asishushe hadhi yakekujarib kumridhisha huyo mke...
Ataharib heshima yake. Ahsante kwa ujumbe mkuuu shida jamaa kapenda hadi ukucha ndio maana anahaha kuhakikisha anapigania ndoa yake

Amwache aende,yeye angaalie watoto wake na jinsi ya kuwalea. Hapa kwa sasa akubali tu kuwa hakuna upendo..
 
Huyo naye anajiita mme au takataka. Hofu yake nini. Mimi kwangu haijalishi tumezaa watoto 20 au kumi sijui wangapi sivumilii ujinga hata sekunde.
Watoto ni watoto nakupenda wewe kama wewe mke uzae usizae utabaki kuwa kipenzi changu kufa. Siwezi kupata mateso ya moyo kisa watoto uliozaa.
Kama kuzaa ndiyo kuolewa wapo kibao wamezalia nyumbani lakn ndoa hawana ila maisha yanasonga mbele.
Ndoa ya mateso ni zaidi ya jehanama ni heri hata kuishi juu ya mti kama pana aman kuliko kuishi kwenye kasili la mateso.
Mwambie aache kutuaibisha mudume huyo.
ahsante mkuu mapenzi ni janga jingine la dunia.......
 
Ktk ndoa kuna mambo yakifikiwa na mwanamke kama huyu alivyofikia basi hakuna budi kukubali kuwa alikuwa ila sasa sio mwenzi wako tena.
Binafsi ningeangalia njia nzuri ya kuwatunza watoto wangu bila huyo mwanamke na nisingekosa.
 
Mkuu nimegundua ktk ndoa kuna mizigo ming ambayo imewalemea wahusika lkn kuna mambo hayahitaj discussion hapana iwe hapana na ndiyo iwe ndiyo......
 
Hivi mwanaume unaanzia wapi kumuoa mwanamke ambaye hakutaki? Jamaa alijichimbia kaburi lake mwenyewe wacha aisome namba
 
Uyo mwanaume niwa sayari gani? Unapata uhakika bibi yako anacheat bado unaomba akae shubamit!!! Ilo ndo kulilikuwa kosa kubwa atadharauliwa sana
 
hv hapo pia kunaishu ya uzoefu.....inshort kuna maneno mawili KA........na TA...(BY VOICE OF UNCLE)
 
Mkuu nimegundua ktk ndoa kuna mizigo ming ambayo imewalemea wahusika lkn kuna mambo hayahitaj discussion hapana iwe hapana na ndiyo iwe ndiyo......
Ni wanaume wachache ktk ndoa wenye uwezo wa kusema hii nyeupe hii nyeusi na wakasimamia hapo mpaka mwisho.
 
Hivi mwanaume unaanzia wapi kumuoa mwanamke ambaye hakutaki? Jamaa alijichimbia kaburi lake mwenyewe wacha aisome namba
Mkuu sina hakika kama mwanaume alijua k uwa mwanamke hamtak kabla ya taarifa ya mkewe kilichofanyka nahis ni one coin with two different sides........
 
Back
Top Bottom