Anafanya nini huyu…?

Anafanya nini huyu…?

20PROFF

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
8,217
Reaction score
7,263
Nipe jibu lako,
 

Attachments

  • 1422641307878.jpg
    1422641307878.jpg
    16.2 KB · Views: 4,733
Kwa maana nyingine bi harusi hajavaa kofuli, jamaa anaichungulia kwanza
 
ndivyo wakioa wenye akili za kitoto, hawajui mke ana hadhi yake na staha mbele ya watu
 
Huyu dume itakuwa katonywa na wambea ya kwamba huyo ni mke wa jinsia mbili ndo hapo tena anaigagua je ni ya kweli au la
 
Wengi humu hamuelewi historia ya sherehe za ndoa.

====NI HIVI====
Hufika wakati katikati ya sherehe ya harusi bwana harusi hutakiwa kuwaonyesha hadhira "chuma alichopatiwa hati miliki" Na mambo hufanywa kama desturi isemavyo kwamba bwana harusi humfunua shella bibi arusi kwa kutokea mbele na kumfunika nalo kichwani hivyo kuuacha mwili wa bibi harusi ukiwa mtupu toka tumboni hadi miguuni.

Ni wakati huu ndio hadhira hulipuka kwa shangwe na vigelegele na sherehe kupamba moto ikihanikizwa na mirindimo ya ngoma, zumari, matari, vinubi, mazeze na pembe (tarumbeta)

Hii taratibu Inayo falsafa murua kabisa iliyowanya wamama kujiheshimu sana na kuiheshimu zaidi jamii inayowazunguka.
 
papuchi ishagalegea, jamaa anafanya kuifunga na screw ili imtosha kwny honeymoon
 
Back
Top Bottom