Hujasoma bandiko la Sikonge, msemo huo umebadilika umekuwa "mzigo mzito anao mnyamwezi" sasa rafiki utaweza himili kitu ya kaka yangu weye?
Unaonaje nikimstua mzabzab tu kabla sijamwita KIKUNGU na Mtoboasiri!
mzazbzab mgegedaji sana huyu hapana
Mtoboasiri naye miguu kama tuthipik nishampa talaka
KIKUNGU eeh :becky:
nina mahusiano na mwanamke wa kinyamwezi
ninaomba mwenye uelewa anipe tabia zao wakoje kabla sijaingia kwenye kitanzi cha ndoa
Kumbe mzabzab wewe ni mnyamwezi!! ndiyo maana unapenda kugegeda, hiyo ndiyo tabia yenu kuuuuubwa wanyamwezi , mnapenda sana kugegeda na mizigo miziti. Hahahaahaha!!!
Hahahaahahahaaaaaaaaaaaa! ningeshangaa sana kama usingeniambia hivyo, wewe tena kama kawaida yako, Mzee wa mgegedo!!sasa wewe shughuli nzito mpe mnyamwezi. unadhani kugegeda sio shughuli nzito....nipe chance uone raha ya mnyamwezi lol
mzazbzab mgegedaji sana huyu hapana
Mtoboasiri naye miguu kama tuthipik nishampa talaka
KIKUNGU eeh :becky:
Hahahaahahahaaaaaaaaaaaa! ningeshangaa sana kama usingeniambia hivyo, wewe tena kama kawaida yako, Mzee wa mgegedo!!
we nenda tabora mjini kila kona utakutana na kichaa, yaani vichaa wengi kwelikweli,
Hahaha
Huyo ndio kaka yangu miye, wengine wote ni JPEG imagies! LOL
Nami dada yako nimeubeba chini ya mgongo, na miguu ya kubebea ipo![/QUOTE
Mnajua kuitumia hiyo mizigo au mbwembwe tu...maana mie wanyamwezi ni watan zangu ila ndo hivyo wavivu balaa...
Umenena mkuu,yaani kuanzia pande za hospitali ya Kitete mpaka barabara ya ujiji na mwanza road,nimeshashuhudia mzungu kichaa anakatiza mitaa ya tabora.Pia kuna mwehu maarufu nafikiri alishafariki alikuwa anajulikana tabora nzima anaitwa Malingumu
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Hahaha
Huyo ndio kaka yangu miye, wengine wote ni JPEG imagies! LOL
Nami dada yako nimeubeba chini ya mgongo, na miguu ya kubebea ipo![/QUOTE
Mnajua kuitumia hiyo mizigo au mbwembwe tu...maana mie wanyamwezi ni watan zangu ila ndo hivyo wavivu balaa...
Wewe Kongosho mbona wanitamanisha jamani...............mungu ni mwema kweli ametujalia mizigo ya mbele na nyuma,usiseme na maumbo,hakuna mnyamwezi mdogo mdogo........tukivaa jeans twapendaza.......tukivaa t-shirt utatutamani........tukiingia shamba kulima we acha tu........kunako 6 x 6 ni balaa......sio watu wa maneno mengi ni vitendo to.......niseme zaidi dada Kaunga,Kaka Sikonge,The Boss na wewe Fighter mbona umepotea.Mtoboasiri hebu ni-PM bwana tufahamiane pia.Hata wewe gwiji mzabzab kumbe ni wa kule kule.Hata wewe dada Ennie sijawahi kukuona humu,vapanga mwe ilumbuye
Wapole, wanajua mapenzi
Uvivu ulioambatana na madaha kwa wadada; kwa wakaka ni taratibu bila papara kiasi kwamba anaweza kukupelekesha hadi 45mns bila mijasho kabla hajaunganisha cha 2, 3 na kuendelea.
Kazi za nje niwekee maid lkn mchumba hautahitaji nyumba ndogo labda kama unataka ukamwage povu tu kule! LOL
ahahahahahhahahahhahhhahahha
naachaje kukupenda sasa!UUWIH
hii misifaaaaaaaaaaaaaaaaa lol!kuna watu wanajimegea mipwenti hapa lol!
kuuuuuuuumbe!Wewe Kongosho mbona wanitamanisha jamani...............mungu ni mwema kweli ametujalia mizigo ya mbele na nyuma,usiseme na maumbo,hakuna mnyamwezi mdogo mdogo........tukivaa jeans twapendaza.......tukivaa t-shirt utatutamani........tukiingia shamba kulima we acha tu........kunako 6 x 6 ni balaa......sio watu wa maneno mengi ni vitendo to.......niseme zaidi dada Kaunga,Kaka Sikonge,The Boss na wewe Fighter mbona umepotea.Mtoboasiri hebu ni-PM bwana tufahamiane pia.Hata wewe gwiji mzabzab kumbe ni wa kule kule.Hata wewe dada Ennie sijawahi kukuona humu,vapanga mwe ilumbuye