Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,020
- 168,014
Jamani naongea haya kwa masikitiko na huzuni kubwa sana hapa. Sina pozi kabisa mwenzenu natafakari bila kupata majibu juu ya sisi wanawake
Kuna sehemu unaeza kuta wanaume wawili watatu wamekaa wao kwa wao wakiongea yao yakiume sijui ya mademu sijui michepuko sijui yule anaringa mara hana lolote nanyinginezo.
Vivohivo kwa wanawake . Wanapokaa wanawake wawili watatu unategemea wataongea story gani kwa mfano???
Hivi unapoambiwa kitu juu ya mtu/ watu fulani ukikaa nacho unawashwa??? Huyooo patupatupatu unapokipeleka moja kwa moja kwa muhusika / ndugu au jamaa yake wa karibu sana unatarajia nini?!!
Hapa kwetu nusura pageuke Uwanja wa kungfu Leo mimi nilijihami nikajifungia zangu ndani tu baada ya kuona hali ya hewa imeharibika make hata kupigana siwezi.
Najuuuuuuuuuuuta kwakweli. Kuanzia sasa nikiwa sina ishu nibora nije kukesha jf kwenye siasa tu sitakosa la kuongea juu ya Bashite stori ya mujini. kuliko kukaa na Ndumila kuwili.
Nimekoma yani kiranga komooo hapa.