Anaewaelewa Baba Jesca na Baba Mwanaasha anieleweshe!?

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,739
Mmoja anasema wale watoto waliotimuliwa udom ni vilaza mmoja anasema walifaulu vizuri tu na walisitahili kuendelea na masomo huyu anaungwa mkono na waziri wa wizara hiyo wa baba jesca. ndugu zangu wanajamvi naomba kujua nani yuko sahihi na je ni kweli Baba jesca ana mtoto anasoma UDOM na alipata 4 kidato cha nne...
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Waliopata Div 4 ni 88 tu wengine wote wanastahili kurudi chuoni na kuendelea na chuo! Wamesumbua watu wote wale kwa watu 88! Si wangewatoa kwa tangazo moja tu na wangeondoka? Wanaacha kupambana mambo ya msingi wanaleta siasa kwenye mambo yasiyo ya siasa! Baba Jesca acha jazba uwe na subira na kiasi! Break ziwepo saa zote!
 
Mmoja anasema wale watoto waliotimuliwa udom ni vilaza mmoja anasema walifaulu vizuri tu na walisitahili kuendelea na masomo huyu anaungwa mkono na waziri wa wizara hiyo wa baba jesca. ndugu zangu wanajamvi naomba kujua nani yuko sahihi na je ni kweli Baba jesca ana mtoto anasoma UDOM na alipata 4 kidato cha nne...
Si utafute hiyo list ya waliofukuzwa kisha uangalie passmark zao uone kama walikuwa na vigezo ama hapana.
 
Kwa hili JK yuko sahihi... labda hao 88 wa UDOM ndio wafukuzwe chuoni.. lkn wengine wamefaulu vizuri mitihani yao ya F IV... hili JPM kakosea kuwafukuza wote...!! Sbb wale wanachukua DIPLOMA..na sio degree..JPM sijui vp kakosea...

JK yuko sahihi, but kama kuna
hao 88 waliofeli na wakachomekwa ni kosa hilo, na hao tu 88 ndio wafukuzwe..!!

Nimeona JK kuhusu hili aliongea hadi nimemuonea huruma vile... basi tena..!! Mengine sim support JK, sbb kavuruga sana, ila hili yuko sahihi...!!!

Mengine yote namsupport JPM... ila hili la UDOM sim support..!!
 
mkuu naomba unisaidie link maana na Mimi ni mmoja ya vilaza huzi jua...
 
Mkuu wote ni vilaza aka vijesca. Kaangalie historia ya elimu zao utashangaa. Hili la UDOM baba Mwanaasha anakomolewa na baba Jesca huku nchi inayumbishwa lakini angalau anaeleweka
 
Tuwaache wapimzike jamani kila siku wao tu
Watakufa kwa presha bure
Wao hawawezi kufa nyie vilaza wenu waliofukuzwa pale UDOM na hamna fedha za kuwapeleka kwenye vyuo saizi ndiyo mtakufa kwa presha.
 
Kwa magu si amesema bila kuelewa ameongea nn eti prof.mkumbo wa act mzalendo alisema kuwa wachukue wanafunzi si zaid ya 1000 inaonyesha anajua wale wapo pale si kimakosa mzee anajikanyaga sana ajipange afanye mambo kimipango mbele atakwama bure
 
Kufeli sio ishu, ishu ni kutumia Magumashi kuingia chuo kimizengwe! Hata Mwana asha Jakaya alifeli form na hakufanyiwa mishemishe za kijeska kuingia Chuo directly.
 
Kwa hili JK yuko sahihi... labda hao 88 wa UDOM ndio wafukuzwe chuoni.. lkn wengine wamefaulu vizuri mitihani yao ya F IV... hili JPM kakosea kuwafukuza wote...!! Sbb wale wanachukua DIPLOMA..na sio degree..JPM sijui vp kakosea...

JK yuko sahihi, but kama kuna
hao 88 waliofeli na wakachomekwa ni kosa hilo, na hao tu 88 ndio wafukuzwe..!!

Nimeona JK kuhusu hili aliongea hadi nimemuonea huruma vile... basi tena..!! Mengine sim support JK, sbb kavuruga sana, ila hili yuko sahihi...!!!

Mengine yote namsupport JPM... ila hili la UDOM sim support..!!
Angewaondoa hao 88 waliopata Jesca form Four nafikiri kusingekuwa ba hizi thread zote!!! Kama anatosha Zitto ni kweli basi kuna kila sababu ya mtu au watu kuwajibishwa. Nani aliyemuambia kuwa hao vijana 7800 ni vilaza na wengi wao waliopata Vijesca Form Four!!
 
Back
Top Bottom