Blog ni nzuri,tayari ina matangazo mazuri ya google ads kwa hyo kila mwsho wa mwezi itakulipa...email me innocentlugano60@gmail.com tupange bei.
Faida yake n nn hasa may u teach me plzz coz hua sielewi!
Uwa unapata kiasi gani cha mwezi? Na kwa nini unauza?
jaribu kugoogle malipo yake,na ninauza kwa sababu nipo busy sana,sitaweza kucontrol mara kwa mara
Blog zote uwa hawalipwi sawa. Wewe weka jina la blog yako