Anaempima huyu mama amuache amlize kusoma hotuba

Humu kuna uzi mmoja ukawa unaelezea madhila ya presentation chuo.

Kuna member anakwambia kwakua hakua amesoma na hata swali halijui akatinga suti safi ili kumtrick lecturer aone mtu smart kama huyu hawezi kua kilaza.

Basi kundi lao likaitwa wakanyanyuka kabla hawajasogea mbele lecturer akasema ya nini mjazane aende mmoja tu pale mbele. Lecturer kwa kuiona suti ilivyo kali akasema aende huyu bwana.

Mshkaji akapokea kazi anapiga hatua apande ngazi akateleza akaanguka basi jamaa akamalizia kwa kujifanya kazimia kabisa. Akaona bora aibu ile kuliko aibu ya kua na suti kali kumbe show haijui.
 
Kote kote Niko maskani tatizo hatuna hizo stori hatujui kinachoendela mwanza
Oh sory, kweli huwezi kuelewa. Kwakifupi ni kuwa kuna sherehe zinaendelea huko mwanza na mtu wakwanza kuhutubia alikua huyo mama ATE ni alikua natetemeka hatari. Mpaka jioni utaipata video yake najua atapata muda wakijadiliwa kama makalimani.
 
Humu kuna uzi mmoja ukawa unaelezea madhila ya presentation chuo.

Kuna member anakwambia kwakua hakua amesoma na hata swali halijui akatinga suti safi ili kumtrick lecturer aone mtu smart kama huyu hawezi kua kilaza.

Basi kundi lao likaitwa wakanyanyuka kabla hawajasogea mbele lecturer akasema ya nini mjazane aende mmoja tu pale mbele. Lecturer kwa kuiona suti ilivyo kali akasema aende huyu bwana.

Mshkaji akapokea kazi anapiga hatua apande ngazi akateleza akaanguka basi jamaa akamalizia kwa kujifanya kazimia kabisa. Akaona bora aibu ile kuliko aibu ya kua na suti kali kumbe show haijui.
Hahahaha....jamaa anazijua vizuri hesabu za kujumlisha. Emu naomba link ya huo uzi mkuu.
 
Na huyu mzee nae naesoma saizi bora angeachia vijana
 
Hata huyu anayesoma risala sasa, sijui ni Naibu Katibu wa Afya alipaswa kusoma risala ya darasa la 7 siku ya maafali na siyo mbele ya Rais kwenye sherehe ya Kitaifa.
 
Back
Top Bottom