MR LINKO
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,034
- 3,544
Habari wana JF,
Mimi nilikuwa nahusika na (website) huko UG, sasa kwa hapa Bongo kuna swala la (zipcode) ni gumu sana na hata sijui nijanzeje maana ukiweka lazima waangalie sshemu uliko na ukidanganya huwa hawaangaiki na wewe.
Tofauti na sehemu nyingine nilikuwa napiga nawaambia wana (comfirm) sasa bwana kwa Bongo imekuwa ngumu sana kwangu.
Niko Moshi Kilimanjaro mwenye upeo na hii kitu anijuze.