Anaehitaji Nissan Xtail

Labda kama unaishi kijijini ndo inakuwa luxury ila kwa hapa mjini 100% ni necessity kama simu
Ni kweli mkuu,tena ukishakua na family ndo inabidi mtu ufanye bidii angalau hata ka-starlet
 
Hiyo umeoa ndoa ya kikristo ndugu yangu, ni wa kufa na kuzikana! Labda ukauze Sumbawanga..
Unaleta hadith za vijiweni, we ni pungu1 kabisa. Umewahi miliki gari wewe? mmezoea toyota, hivi mmerogwa? gari unaweza kaa nayo hata miaka 20 tatizo nini? acha uzuzu wewe, ka huna cash kaa kimya na I.S.T-like cars
 
Mkuu kila la kheri, safi sana gari hii kwa niionavyo hasa kwenda nayo kwetu likizo ila saivi sina hela tu
Heshima wakuu..Heri ya mwaka mpya.. anayehitaje Nissan Xtrail tuwasiliane ni mpya ya 2004 reg.ni CLM Details zingine;

colour; silver
cc; 1990
fuel; petrol
Automatic transmission
imetembea 151,000/= km
Imported in june 2013 from Japan

check me in 0754 814 910 au ni-pm
 
ImageUploadedByJamiiForums1388798800.619715.jpg ImageUploadedByJamiiForums1388798820.966475.jpg
Siku hizi x-trail kubwa zaid zinapatikana. Tuletee kama hizi
 
Mkuu kila la kheri, safi sana gari hii kwa niionavyo hasa kwenda nayo kwetu likizo ila saivi sina hela tu
Ni kweli mkuu hizi mashine zimetulia barabarani nilieanda nayo rukwa likizo na niliinjoi indeed, sema tu mwaka huu umeanza kuna mambo nimepanga niyafanye kwanza mapema, nikirudi level I hope ntarudi mulemule mkuu...si unajua gari sio mke..
 
Mkombe we wa Rukwa?
 
Kwa mwaka huo, mileage hiyo sio bei yake kabisa! Labda umpate asiyejua magari, na kweli utawakamata! Besides, xtrail ni moja ya magari yasiyouzika kama "third hand"!!
 
Kwa mwaka huo, mileage hiyo sio bei yake kabisa! Labda umpate asiyejua magari, na kweli utawakamata! Besides, xtrail ni moja ya magari yasiyouzika kama "third hand"!!
Unazijua hizi gari mkuu au unahadithiwa tu? Tafuta watu kama watatu wenye nazo uwaulize ni za mwaka gani...hutopata ya 2004 nakuhakikishia...ni 2000 hadi 2002 ndio nyingi... fanya huo hiyo simple utafiti hata kwa kupiga simu tu....
 
Hi zi no mimba zisizo name wazazi a cha kabisa nililepeleka langumodji kwa wazazi wakafienalo loh
 
Kila la heri. Ukipata mnunuzi naomba ulete feedback hapa jukwaani!
 
Hi zi no mimba zisizo name wazazi a cha kabisa nililepeleka langumodji kwa wazazi wakafienalo loh
Unamaanisha ulikua nayo ikakusumbua? Ilisumbua nini? Weka wazi....ndio kwanza naskia kwako hii habari...huku kwetu hizi gari zinatumika na watu wa miradi ya barabara na ndio watu wa kwanza kuanza kuziingiza TZ na mpaka hapa navyoandika wanazitumia pamoja na mikikimikiki yote ile na uzuri hizi gari bodi haichakai...sasa hiyo ya kwako sijui ni xtrail ya wapi mkuu...au porojo tu uonekane ulishawahi kumiliki mashine
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom